Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usku wa jana alicheza kwa dakika 72 timu yake, Aston Villa iikibuka na ushindi 1-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vlla Park.
Ni ushindi waliouhitaji Aston Villa katika harakati zao za kujinusuru kushuka daraja na sasa wanafikisha pointi 34 baada ya kucheza mechi 37 na wanapanda kwa nafasi moja hadi ya 17, sasa wakiizidi wastani wa mabao tu 18 Watford .
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa, Chris Kavanagh wa Lancashire, bao pekee la Aston Villa lilifungwa na kiungo Mmisri, Mahmoud Ahmed Ibrahim Hassan, maarufu kama Trezeguet dakika ya 27 akmalza kaz nzur ya Tyrone Mings.
Mbwana Samatta (kulia) akipambana na walinzi wa Arsenal usiku wa jana Uwanja wa Villa Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kocha Dean Smith alimpumzisha Samatta dakika ya 72 nafasi yake ikichukuliwa na kinda wa England, Keinan Davis aliyekwenda kumalizia kazi vizuri timu ikiulinda ushindi wake na kuvuna pointi tatu muhimu.
Aston Villa watakamilisha mechi zao za msimu Jumapili kwa mchezo wa ugenini dhidi ya West Ham United Uwanja wa London kuanzia Saa 12:00.
Kikosi cha Aston Villa kilikuwa: Reina, Elmohamady/Guilbert dk25, Konsa, Mings, Targett, McGinn/Lansbury dk90, Douglas Luiz, Hourihane/Nakamba dk73, Trezeguet, Samatta/Davis dk72 na Grealish.
Arsenal: Martinez, Holding, Luiz/Pepe dk60, Kolasinac, Cedric/Willock dk79, Ceballos, Torreira/Xhaka dk46, Saka/Tierney dk60, Nketiah, Lacazette na Aubameyang.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2CEbYfY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms