MABINGWA watetezi, Bayern Munich wamejihakikishia kwenda Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya RB Salzburg katika mchezo wa Kundi A usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Robert Lewandowski dakika ya 42, Maximilian Wober aliyejifunga dakika ya 52 na Leroy Sane dakika ya 68, wakati la RB Salzburg lilifungwa na Mergim Berisha dakika ya 73. Bayern Munich inafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi saba zaidi ya Atletico Madrid, wakati RB Salzburg inaendelea kushika mkia kwa pointi yake mmoja, nyuma ya Lokomotiv Moscow yenye pointi tatu kuelekea mechi za mwisho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/376U94F
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms