TIMU ya Arsenal imekamilisha hatua ya makundi ya UEFA Europa League kwa ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Dundalk FC usiku wa jana Uwanja wa Aviva Jijini Dublin.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Eddie Nketiah dakika ya 12, Mohamed Elneny dakika ya 18, Joe Willock dakika ya 67 na Folarin Balogun dakika ya 80, wakati ya Dundalk FC yamefungwa na Jordan Flores dakika ya 22 na Sean Hoare dakika ya 85.
Kwa ushindi huo, Arsenal imemaliza na pointi 18, ikifuatiwa na Molde yenye pointi 10, Rapid Wien pointi saba, wakati Dundalk haina pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2W2aemP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARSENAL WAMALIZA NA USHINDI WA 4-2 UGENINI EUROPA LEAGUE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/12/arsenal-wamaliza-na-ushindi-wa-4-2.html. Terimakasih atas perhatiannya.