PAMOJA na kupokonywa Kombe la CECAFA U20 kufuatia kipigo cha 4-1 kutoka kwa Uganda jana wa Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha – Ngorongoro Heroes imetoa Mchezaji Bora na Mfungaji Bora wa Mashindano hayo yaliyofikia tamati jana.
Hao ni Abdul Suleiman (chini) aliyetwaa Kiatu cha Rangi ya Dhahabu kwa mabao yake matano akifungana na Ivan Bogere wa Uganda na Paschal Mshindo (juu) aliyetwaa Mpira wa rangi ya Dhabau, wakati Kipa Bora ni wa Sudan Kusini.
Uganda na Tanzania zitacheza AFCON U20 itakayofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4 mwakani.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3mzhQsI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms