TIMU ya Chelsea jana imeichapa Sheffield United 2-1 katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane, huo ukiwa ushindi wao wa tatu mfululizo chini ya kocha mpya, Thomas Tuchel aliyechukua nafasi ya Frank Lampard aliyeondolewa.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na Mason Mount dakika ya 43, Jorginho kwa penalti dakika ya 58 huku la Sheffield akijifunga Antonio Rudiger dakika ya 55 na kwa ushindi huo, The Blues wanafikisha pointi 39 na kupanda nafasi ya tano, wakizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya wote kucheza mechi 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3aPuOOC
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CHELSEA WASHINDA MECHI YA TATU MFULULIZO CHINI YA TUCHEL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/02/chelsea-washinda-mechi-ya-tatu.html. Terimakasih atas perhatiannya.