TIMU ya Manchester City jana wameichapa Liverpool 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
Mabao ya Manchester City yalifungwa na Ilkay Gundogan mawili dakika ya 49 na 73, Raheem Sterling dakika ya 76 na Phil Foden dakika ya 83, wakati la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 63.
Kwa matokeo hayo, Manchester City inafikisha pointi 50 baada ya kucheza mechi 22 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya mahasimu wao, Manchester United ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.
Mabingwa watetezi, Liverpool wanabaki nafasi ya nne wakiwa na pointi zao 40 za mechi 23, moja zaidi ya Chelsea na West Ham United baada ya wote kucheza mechi 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2N8d5JH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MANCHESTER CITY YAICHAPA LIVERPOOL 4-1 PALE PALE ANFIELD. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/02/manchester-city-yaichapa-liverpool-4-1.html. Terimakasih atas perhatiannya.