
WAZIRI wa Habari Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kukutana na uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFaf) na klabu ya Yanga kumaliza tofauti zilizopo baina ya pande hizo mbili.
Hayo yamesemwa Katibu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Dk Hassan Abbasi leo kufuatia tetesi za Yanga kutaka kufanya maandamano ya amani kupinga kile waanchoamini uonevu wa TFF dhidi yao.
"Nimesikia watu wanataka kuandamana sijui maeneo gani, hawa watu wa Yanga wanaona kwamba kuna matatizo kwenye TFF au kuna msimamizi fulani, sasa hizi kelele zimekuwepo muda mrefu, kwa hiyo huwezi Serikali ukasema watu wanataka kuandamana iwe ni kweli, wametishia au hawapo halafu Serikali ukasema umetulia tu, kwa hiyo nafikiri hilo limekwishachukuliwa hatua,".
"Kesho mheshimiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo amewaita Yanga kuwasikiliza kuna nini, lakini pia amewaita TFF wenyewe kwa upande mwingine nao kuwasikiliza kwamba kuna nini hiki, Kisha taratibu zile za kawaida za kimfumo wa mpira na taratibu hizo zitafuatwa,".
"Lakini kesho hili ningeomba pia nilisistize kwamba kama kuna malalamiko yoyote, wadau watulie Serikali ipo, inasikiliza na vyombo vipo, yale yanayopaswa kubaki kwenye kanuni za michezo yatabaki, yanayohitaji mwongozo na maelekezo ya Serikali tutatoa, hivi ndivyo tunavyopaswa kwenda," amesema Dk. Abassi leo Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3dG05Vr
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms