TIMU ya Manchester United imetoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 6-2 dhidi ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Manchester United yamefungwa na Bruno Fernandes mawili dakika ya tisa na lingine 71 kwa penalti, Edinson Cavani mawili pia dakika ya 48 na 64, Paul Pogba dakika ya 75 na Mason Greenwood dakika ya 86, wakati ya Roma yamefungwa na Pellegrini Pellegrini 15 na Edin Dzeko dakika ya 33.
Mechi nyingine ya Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League Villarreal imeshinda 2-1 dhidi ya Arsenal Uwanja wa Cerámica, huko Villarreal na timu hizo zitarudiana kesho.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3t2wniX
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms