KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Polisi Tanzania na Mabingwa wa soka la Tanzania msimu wa 2021/2022 Young Africa Golikipa namba moja wa timu hiyo Djigui Diara huenda akakosekana katika kikosi hicho kuwavaa polisi Tanzania hii leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Hayo yamesemwa na Kocha mkuu waa timu hiyo Nasreddine Nabi ambaye ameeleza kuwa Diarra anasumbuliwa na maumivu aliyoyapata kwenye mchezo wa Ngao ya jamii baada ya kugongana na kiungo mshambuliaji kutoka simba Pape Sakho katika harakati za uokoaji wa mpira
Ameongeza kuwa mbali na mlinda mlango huyo pia Lomalisa Joyce alikuwa na maumivu kidogo hivyo ushiriki wao katika mchezo wa leo unategemea maendeleo yao katika mzoezi ya leo na ushauri kutoka kwa madkitari.
Akizungumzia kuhusu mchezo wa leo amesema kuwa polisi Tanzania ni timu ngumu hivyo amewaomba wachezaji wake kusahau ushindi waliopata katika Ngao ya jamii na kuangalia mchezo wa leo ili kupata ushindi kama ilivyo malengo yao ya msimu huu.
Kwa upande wa kubashiri Kampuni bora ya Kubeti Tanzania Sokabet inakua nafasi ya kubashiri michezo yote ya ligi kuu pamoja na ligi za nje kwa wepesi zaidi tembelea tovuti ya Sokabet au piga *149*35# kujiunga sasa.
Katika kubashiri Sokabet inakupa machaguo zaidi ya 400 katika mechi moja, unaweza bashiri umiliki wa mpira, kona za michezo, mfungaji wa bao na machaguo mengine mengi yapo sokabet pekee,
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/CDUqvS0
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang DIARRA HATIHATI KUIKOSA POLISI TANZANIA LEO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/08/diarra-hatihati-kuikosa-polisi-tanzania.html. Terimakasih atas perhatiannya.