KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara katika siku chache zilizopita, sasa imewageukia wateja wao kwa kuwamwagia fursa kemkem za kujipatia mamilioni ya pesa kiulani wakati wakiwa wanasajili akaunti zao mpya za ubashiri wa michezo.
Hayo yamebainishwa na Afisa Habari na Mawasiliano ya Umma wa Parimatch Tanzania, Ismail Mohamed wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa ofa hiyo ni halali tu kwa wale wateja watakaoweka pesa kwa mara ya kwanza katika akaunti zao, bofya hapa kujipatia ofa yako
“Ofa hii inapatikana kwa wateja wapya pekee wa Parimatch na inaweza kutumika wakati wowote baada ya tarehe ta usajili, katika bonasi hii mteja anahitajika kuweka pesa katika akaunti yake na kiasi cha juu cha bonasi ni Milioni 1 kwa upande wa Sports na Kasino Milioni 3 na Laki 5 za kitanzania”, alisema Ismail Mohamed.
Pamoja na hayo, Afisa Habari huyo amewasii wapenzi wa michezo kuwa karibu na Parimatch ili kusudi wapate kuwa wa kwanza kunufaika na promosheni kabambe zinazoendelea kutolewa pamoja na kufaidi msisimko wa Odds kubwaa.
“Kupitia www.parimatch.co.tz. Utaweza kubashiri Ligi zote za michezo ulimwenguni pamoja na kucheza gemu za virtual zote na utaweza kupata pesa zako kwa wakati kupitia mtandao wako wa simu kwa haraka zaidi”, alisisitiza Mohamed.
Kwa upande mwingine, Mohamed alisema kwa sasa wameboresha zaidi huduma za msaada ambazo zinapatikana bure kupitia namba yao 0800787878 saa 24 siku 7 za wiki.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/w5TDtEi
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang USHINDI DABO DABO NA PARIMATCH. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/08/ushindi-dabo-dabo-na-parimatch.html. Terimakasih atas perhatiannya.