WENYEJI, Fulham wamelazimisha sare ya 2-2 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage Jijini London.
Mabao ya Fulham yamefungwa na Aleksandar Mitrović dakika ya 32 akimalizia pasi ya Kenny JoelleTete na lingine kwa penalti dakika ya 72, wakati ya Liverpool yamefungwa na Darwin Núñez dakika ya 64 na Mohamed Salah dakika ya 80.
Mohamed Salah amefikia rekodi ya kufunga kwenye mechi za ufunguzi, hili likiwa bao la nane kwa mechi za kwanza za msimu sawa na magwiji wa England, Frank Lampard aliyewika Chelsea, Wayne Rooney aliyewika Manchester United na Alan Shearer aliyewika Newcastle United.
Pia anashikilia rekodi ya kufunga mfululizo kwenye mechi za ufunguzi na bao lake hilo la 158 tangu aanze kuchezea Liverpool linamfanya afikie idadi ya mabao ya gwiji wa zamani wa klabu hiyo, Michael Owen.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/pcglaEs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SALAH AFIKIA REKODI YA ROONEY, LAMPARD NA SHEARER ENGLAND. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/08/salah-afikia-rekodi-ya-rooney-lampard.html. Terimakasih atas perhatiannya.