UONGOZI wa klabu ya Yanga umeachana na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Hassan Bumbuli baada ya kumaliza mkataba wake.
Kwa upande wake, Bumbuli ameushukuru uongozi wa Yanga kwa hatua hiyo akisema; “Kwa dhati ya moyo Wangu NAWASHUKURU sana Wana Yanga, Hakika naweza kusema kwamba ni ninyi ndio mnafanya ukubwa huu Klabu ya Yanga,”. “Inaweza kuhuzunisha kwamba leo nawaaga, naondoka uongozini, lakini nina furaha na shauku kwa Changamoto mpya mbele yangu, na pia nina shauku kuona mpya yaliyoandaliwa kwa ajili yenu na kwa Klabu yangu pendwa,”.
“Ni zawadi nzuri sana niliyopokea na kuifurahia kufanya kazi Yanga, kuwahudumia #Wananchi,”.
“Ahsanteni kwa kunionyesha wema na hekima, hakika mlifanya Yanga kuwa mahali nilipofurahia sana kutumia muda wangu za kazi na zaidi,”.
“Kwenu WanaYanga, sina la kusema, hii ni kwa sababu sipati maneno ya kuelezea jinsi ninavyowashukuru! Ninyi ni watu Maalum sana,”.
“Nimekuja tukiwa watupu vyote pesa na mataji, naondoka huku vikapu vikiwa vimesheheni na rekodi iliyowekwa kwa kishindo. Ahsanteni kwa kunipa nafasi ya kuwatumikia,” amesema Bumbuli katika taarifa aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/MWk1fCm
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms