WENYEJI, Zanzibar usiku wa Jumatatu wamechapwa bao 1-0 na Burkina Faso katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar.
Bao pekee la The Stallions lililoizamisha Zanzibar Heroes usiku wa jana lilifungwa na Hanabi Hadalou dakika ya 74 na sasa Burkina Faso inaongoza ligi ya michuano hiyo kwa pointi zake nne kuelekea mechi yake ya mwisho na Tanzania Bara.
Zanzibar Heroes wanabaki nafasi ya pili kwa pointi zao tatu walizovuna kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya ndugu zao, Kilimanjaro Stars kwenye mchezo wa ufunguzi.
Michuano hiyo inaendelea leo kwa mchezo mwingine mmoja, Tanzania Bara dhidi ya jirani zao, Kenya.
Wakati Kilimanjaro Stars ilichapwa 1-0 na Zanzibar Heroes kwenye mechi ya ufunguzi — Harambee Stars waliĆazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na The Stallions.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/ouqv5hE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms