RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes Shilingi Milioni 50 baada ya kutwaa Kombe la Mapinduzi 2025.
Akizungumza katika Hafla Maalum ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya Wachezaji wa Timu hiyo katika Viwanja Vya Ikulu, Rais Dk, Mwinyi ameeeleza kuwa timu hiyo imeiletea Heshima kubwa Zanzibar na Kudhihirisha Kuwa kuna Vipaji vingi vya Soka hapa nchini vinavopaswa Kuendelezwa katika Maeneo mbalimbali..
Dk,,Mwinyi Amefahamisha kuwa kwa Mafanikio ya Zanzibar Heroes kuna kila sababu kwa Serikali Kuendelea na UjenzI wa Academy za Soka Kila Mkoa kwa Lengo la.Kuviibua Vipaji vya Vijana.
Rais Dk, Mwinyi ametangaza Dhamira ya Kuunda Kamati Maalum ya Kitaifa hivi karibuni itakayokuwa na Jukumu la Kumshauri Namna Bora ya kuuendeleza Mpira wa Miguu hapa nchini.
Dk. Mwinyi ameeleza kuwa Hatua za Timu za Zanzibar Kulibakisha Kombe la Mapinduzi kwa Mwaka wa Tatu Mfululizo kunaashiria Uwezo Mkubwa wa Soka na Vipaji viliopo .
"Wengi tulishtuka tuliposikia Timu za Afrika Magharibi zinakuja Kushiriki Michuano ya Mapinduzi,Lakini Mumefanya kazi Nzuri Ahsanteni sana " alisema Dk,Mwinyi
Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Tayari Wataalamu wa Soka (SCOUT) wa Nchini Uturuki wameonesha nia ya kuja Zanzibar baada ya Kuushuhudia Mchezo wa Fainali baina ya Zanzibar na Burkinafaso na kukiri Kuwepo Vipaji Vingi.
Dk. Mwinyi amesisitiza kuwa Lengo ni kuwa na Timu Imara za Mpira wa Miguu katika ngazi zote zitakazoiletea heshima Zanzibar.
Rais wa Shirikisho la Soka la Zanzibar (ZFF) Suleiman Mahmoud Jabir alitumia Fursa hiyo Kumkabidhi Rais Mwinyi Kombe la Mapinduzi 2025.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/OYX3cyQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms