TIMU ya Simba SC imekamilisha idadi ya timu 32 za Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Kilimanjaro Wonders leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba yamefungwa na Valentino Mashaka dakika ya kwanza,Ladack Chasambi dakika ya nne, Patrick Sebastian dakika ya tisa, Mzambia Joshua Mutale dakika ya 21, Mganda Steven Mukwala dakika ya 48 na Edwin Balua dakika ya 80.
Simba inaungana na mabingwa watetezi, Yanga, Mbeya City, Green Warriors, TMA Stars, Namungo FC, JKT Tanzania, Cosmopolitan, Polisi Tanzania, Town Stars, Stand United, KMC, Pamba Jiji, Fountain Gate, Coastal Union, Leo Tena, Azam FC, Transit Camp, Biashara United, Mtibwa Sugar, Songea United, Mashujaa FC, Singida Black Stars, Mambali FC, Kagera Sugar, Geita Gold, Giraffe Academy, Mbeya Kwanza, Kiluvya FC, Tanzania Prisons, Big Man FC na Tabora United zilizotinga 32 Bora.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/EnOyD5V
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YASONGA MBELE KIBABE KOMBE LA CRDB. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/01/simba-sc-yasonga-mbele-kibabe-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.