SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) jana lilitangaza kuahirisha Fainali za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 zinazoandaliwa kwa pamoja na nchi za Kenya, Tanzania na Uganda hadi Agosti 2025.
Taarifa ya CAF ilisema wenyeji, Kenya, Tanzania na Uganda wamefanikisha vizuri zoezi la ujenzi na uboreshaji wa viwanja vya kufanyia mazoezi, hoteli, hospitali na miundombinu na vifaa vingine kwa ajili ya kuandaa Fainali za CHAN.
Hata hivyo, wataalam wa Ufundi na Miundombinu wa CAF ambao baadhi yao wamejikita katika nchi za Kenya, Tanzania na Uganda, wameishauri CAF kuwa muda zaidi unatakiwa kuhakikisha miundombinu na vifaa viko katika viwango vinavyohitajika kwa ajili ya kufanya CHAN yenye mafanikio.
Rais wa CAF, Dk Patrice Motsepe alisema: “Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Rais William Ruto wa Kenya, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa uongozi wao, kujitolea na maendeleo mazuri yaliyofikiwa katika kujenga na kuboresha viwanja, viwanja vya kufanyia mazoezi, hoteli, hospitali na miundombinu na vifaa vingine nchini Kenya, Tanzania na Uganda kwa ajili ya kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika ya TotalEnergies (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024,".
"Nimefurahishwa na ujenzi na ukarabati unaoendelea wa miundombinu na vifaa vya mpira wa miguu nchini Kenya, Tanzania na Uganda. Nina imani kuwa viwanja, viwanja vya mazoezi, hoteli, hospitali na miundombinu na vifaa vingine vitakuwa katika viwango vinavyohitajika vya CAF kwa kuandaa, Agosti 2025, Mashindano ya Jumla ya Nishati ya Afrika ("CHAN") yenye mafanikio makubwa Kenya, Tanzania, Uganda 2024,”.
Pamoja na kuahirisha Fainali hizo, lakini CAF imesema zoezi la kufanya Droo ya CHAN itafanyika kama kawaida leo Jijini Nairobi, kuanzia Saa 2:00 usiku na tarehe mpya ya kuanza kwa Fainali hizo itatajwa baadaye.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/IRCTta6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms