ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Véron Mosengo-Omba (66) amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FECOFA).
Akiwa mgombea pekee baada ya wengine kujiuzulu na kuenguliwa, Véron Mosengo amepata kura 60 kati ya 65 zilizopigwa na sasa anachukua nafasi ya Constant Omari, aliyeongoza FECOFA kwa miaka 18 kuanzia mwaka 2003 hadi 2021.
Mzaliwa huyo wa Kinshasa, Mosengo-Omba mwenye uraia wa Uswisi pia ataiongoza FECOFA kwa miaka minne kwa mujibu wa Katiba kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine.Veron Mosengo-Omba alijiuzulu Ukatibu Mkuu wa CAF Machi mwaka 30 huu, 2026 kwa shinikizo la kufikia la umri wa kustaafu, miaka 65 baada ya kushika wadhifa huo kuanzia Machi 14, mwaka 2021.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/a8e3s5K
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang VERON MOSENGO OMBA RAIS MPYA WA SOKA YA DRC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/05/veron-mosengo-omba-rais-mpya-wa-soka-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.