• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ▼  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ▼  Agustus (236)
      • AFCON Qualifier - South Africa v Mauritania Preview
      • August's Biggest Horse Racing Winners
      • Fairview Friday 2 September 2016 Best Bets
      • WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA USAJILI LIGI KUU ENGLAND
      • DAVID LUIZ AREJEA CHELSEA KWA PAUNI MILIONI 32 MIA...
      • STOKE CITY YAMSAJILI KWA MKOPO BONY
      • SAMIR NASRI ATUA SEVILLA KWA MKOPO
      • JOE HART ASAINI KWA MKOPO TORINO
      • CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU
      • CHELSEA YAMSAINI ALONSO KWA PAUNI MILIONI 23
      • ITM Cup: Week 3 Preview
      • England vs Pakistan: Fourth ODI Preview
      • MANJI ALIVYOWAONGOZA WANA YANGA KUUAGA MWILI WA BA...
      • Currie Cup: Round 5 Preview
      • Italian Grand Prix 2016 Preview
      • Football League: Weekend Multiple
      • International Friendly: Italy v France Preview
      • International Friendly: Belgium vs Spain Preview
      • Vaal Thursday 1 September 2016 Best Bets
      • Kenilworth Wednesday 31 August Best Bets
      • SERENGETI BOYS NYINGINE ILIKUWA TAMU, LAKINI NDIYO...
      • YANGA WATUMIE AKILI ZAO WENYEWE, WASIIAMINI SANA TFF
      • SAMATTA KUUNGANA NA STARS NIGERIA
      • SIMBA SC YATAKIWA KUILIPA MAMILIONI COASTAL UNION
      • YANGA WAKACHA KESI YA KESSY TFF, WAAMBIWA WASIPOTO...
      • BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR K...
      • SIMBA WAENDA KUPASHA KIAINA DOM
      • DAR MUSICA KUZINDULIWA RASMI SEPTEMBA 16
      • Hollywoodbets.mobi: Madrid El Clasico Competition
      • PEREZ RASMI SASA NI MCHEZAJI WA ARSENAL
      • REMY WA CHELSEA ATUA CRYSTAL PALACE KWA MKOPO
      • 2018 World Cup Qualifiers - UEFA Preview
      • Sri Lanka vs Australia: Fourth ODI Preview
      • KIIZA DIEGO ATUA FREE STATE STARS YA AFRIKA KUSINI
      • 2018 World Cup Qualifier - Slovakia v England Preview
      • 2018 World Cup Qualifiers – South America Preview
      • Greyville Wednesday 31 August 2016 Best Bets
      • TANZANIA YAPANGWA NA ETHIOPIA NA RWANDA CHALLENGE
      • MKWASA AMUITA STARS KIPA ALIYEIKATALIA SIMBA JUMAM...
      • US Open 2016: Men’s and Women’s Preview
      • England vs Pakistan: Third ODI Preview
      • MECHI YA YANGA NA JKT RUVU YAAHIRISHWA
      • Vaal Tuesday 30 August 2016 Best Bets
      • BILBAO 0-1 BARCELONA
      • MAN CITY 3-1 WEST HAM
      • KIPA NAMBA 1 CHELSEA AJIONEA MWENYEWE SHUGHULI LA ...
      • YANGA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • RAKITIC AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAUA 1-0
      • ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI...
      • DIDA AFIWA NA BABA, KASEKE AFIWA NA BABU
      • STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM
      • JICHO LA MKWASA ANAPOSAKA VIPAJI VIPYA TAIFA STARS
      • WAREMBO WASOMI WALIVYOISHUHUDIA YANGA IKIMPA MTU 3...
      • YANGA YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAITANDIKA 3-0 AFRI...
      • Flamingo Park Monday 29 August 2016 Best Bets
      • ULIMWENGU KURUDI UWANJANI NUSU FAINALI AFRIKA
      • KIGAMBONI ‘LILIKUWA CHIMBO’ MAARUFU LA YANGA WAKAT...
      • DILILI ZA TFF KUFELI MAPEMA KUPATA KIKOSI CHA OLIM...
      • SIMBA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • REAL MADRID 2-1 CELTA VIGO
      • MORATA, KROOS WAING'ARISHA REAL MADRID LA LIGA
      • WATFORD 1-3 ARSENAL
      • TOTTENHAM 1-1 LIVERPOOL
      • CHELSEA 3-0 BURNLEY
      • WEST HAM 0-1 MAN UNITED
      • RASHFORD APIGA BAO LA DAKIKA YA MWISHO MAN UNITED ...
      • WATETEZI WA TAJI LEICESTER CITY WASHINDA 2-1 ENGLAND
      • CHELSEA YANG'ARA ENGLAND, YAITANDIKA BURNLEY 3-0
      • ARSENAL YAANZA LIGI, YAITANDIKA WATFORD 3-0 VICARA...
      • SIMBA SC YABANWA NA JKT RUVU, SARE 0-0 TAIFA
      • SPURS WAICHOMOLEA LIVERPOOL KIPINDI CHA PILI, SARE...
      • MANJI AWAJAZA ‘FWEZA’ WACHEZAJI YANGA, AUNDA NA KA...
      • SIMBA KUENDELEZA UBABE LIGI KUU LEO?
      • TANZANIA NA IVORY COAST KATIKA PICHA 'KARUME BEACH...
      • SAMATTA: TUMEPANGWA NA TIMU ZENYE UZOEFU WA MICHUA...
      • KOCHA MRENO WA AFRICAN LYON AMFUKUZA BEKI WA SIMBA
      • SAMATTA APEWA KUNDI LA KAWAIDA EUROPA LEAGUE
      • TANZANIA YAPIGWA ‘WIKI’ NA IVORY COAST SOKA LA UFU...
      • England vs Pakistan: Second ODI Preview
      • KILA LA HERI TIMU YA SOKA LA UFUKWENI TANZANIA, YA...
      • YANGA NA TFF WAARABU WA PEMBA
      • Scottsville Sunday 28 August 2016 Best Bets
      • SAMATTA APIGA BAO SAFI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI...
      • GUARDIOLA APANGWA NA BARCA, ARSENAL YAPEWA PSG MAK...
      • MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA VODACOM 2016/2017 WAANZA...
      • Currie Cup: Round 4 Preview
      • EPL: Crystal Palace v Bournemouth Preview
      • EPL: Leicester City v Swansea
      • South Africa vs New Zealand: Second Test Preview
      • EPL: Everton v Stoke Preview
      • Turffontein Saturday 27 August 2016 Best Bets
      • MORO KIDS WATWAA UBINGWA WA AIRTEL RISING STARS WA...
      • Kenilworth Saturday 27 August Best Bets
      • MAZEMBE KUMENYANA NA ETOILE DU SAHEL NUSU FAINALI ...
      • Fairview Friday 26 August 2016 Best Bets
      • YAKIFANYIKA HAYA, TANZANIA ITAZOA MEDALI HATA 20 O...
      • SAMATTA AWANIA TIKETI YA MAKUNDI EUROPA LEAGUE LEO
      • MAN CITY 1-0 STEAUA BUCURESTI
      • MAN CITY YATINGA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA...
      • MKWASA 'AMFUNGIA VIOO' THOM ULIMWENGU ULIMWENGU TA...
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » DILILI ZA TFF KUFELI MAPEMA KUPATA KIKOSI CHA OLIMPIKI YA TOKYO 2020?

DILILI ZA TFF KUFELI MAPEMA KUPATA KIKOSI CHA OLIMPIKI YA TOKYO 2020?

MOJA kati ya mambo yanayomfanya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi aonekane kiongozi tofauti na wengi nchini ni namna alivyo mwepesi kushiriki mijadala.
Malinzi anashiriki kwa wingi mijadala ya maendeleo ya soka na michezo kwa ujumla nchini.
Amejishirikisha hadi katika makundi mengi ya mijadala kwenye makundi ya mitandao ya jamii, mfano Whatsapp  na anatoa na kuchangia sana mada kupitia akaunti yake ya Twitter.
Wiki hii Malinzi ameandika makala nzuri ya baada ya Michezo ya Olimpiki mwaka 2016 iliyomalizika mjini Rio de Jeneiro, Brazil wiki iliyopita huku Tanzania kwa mara nyingine ikirejea mikono mitupu.
Malinzi akaandika kwamba; mwisho wa Olimpiki ya mwaka huu Rio, ndiyo mwanzo wa maandalizi ya Olimpiki nyingine ya mwaka 2020 mjini Tokyo, Japan.
Akasema kuna mambo matatu Tanzania inatakiwa kufanya kuhusu maandalizi ya MIchezo ya Olimpiki mwaka 2020 Tokyo.
Kwanza ni maandalizi ya TFF kwa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 (U-23)  kufaulu kushiriki fainali za Olimpiki 2020.
Pili, ili timu ya soka na wanamichezo wengine wafaulu kushiriki na kushinda Medali za Olimpiki, zinahitajika fedha za maandalizi.
Kuhusu soka, Malinzi akasema TFF imeamua kuanza maandalizi ya mapema yenye kuonyesha matumaini ya kufuzu kucheza Olimpiki ya 2020 katika nafasi tatu za Afrika.
Akasema Desemba mwaka huu kutokana na ligi ya Taifa ya klabu za vijana chini ya umri wa miaka 20 inayoanza mwaka huu, watakusanya kikosi cha awali cha timu ya Taifa U23 itakayoingia kambini.
Alisema hao ni vijana waliozaliwa baada ya Januari 1, mwaka 1997 na utatumika utaratibu ule ule ulioutumia kuijenga timu imara ya U-17, Serengeti Boys kuhakikisha wanapata mazoezi, kambi na mechi za kimataifa za kujipima.
Akasema kufikia mwaka 2019 Tanzania itakuwa na kikosi imara cha soka mwenyewe akikiita “a world beating team” kitakachofuzu Olimpiki ya mwaka 2020.
Hakuishia hapo, Malinzi pia nakashauri kuhusu michezo mingine akisema kwenye biashara kuna kitu kinaitwa niche. Akasema tuangalie ni eneo gani Mungu ametupa karama kuliko binadamu wengine kisha tuweke nguvu hapo.
Akasema Tanzania tuna uwezo mkubwa wa asili kwenye michezo ya kukimbia, kuogelea, ngumi, kurusha mkuki na kurusha tufe. 
Akashauri tunapaswa kuamua kuwekeza kwenye kuandaa watu wa kwenda kucheza michezo hiyo Tokyo mwaka 2020 ili watuletee Medali.
Akasema tunapaswa kuanza kusaka vipaji kuanzia mwezi Desemba mwaka huu ili hadi kufika Juni mwakani tuwe na vijana wa kuanzia na tuwatafutie kambi nje ya nchi.
Makala hii inazidi kuuanisha uanamichezo na uzalendo wa Malinzi kwa taifa lake – lakini mimi nina maswali  ya kuwauliza wao TFF kuhusu mkakati wa kwenda Olimpiki 2020 Tokyo.
Mei mwaka huu, kampuni ya Azam Media Limited iliingia Mkataba na TFF wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania na Ligi Kuu ya Vijana wa umri chini ya miaka 20.
Mkataba huo ulisainiwa makao Makuu ya Azam Media, eneo la TAZARA, Dar es Salaam upande wa TFF ukiwakilishwa na Rais wake, Jamal Malinzi na Azam Media wakiwakilishwa na aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Muingereza Rhys Torrington ambaye ameondoka baada ya kumaliza Mkataba.
Baada ya kusaini Mkataba huo, Malinzi alisema kwamba Ligi Kuu ya Wanawake itaanza kwa kushirikisha klabu 10 Agosti mwaka huu na Ligi ya U-20 itashirikisha klabu zote za Ligi Kuu ya Wanaume.
Alisema Ligi ya U-20, ambayo itakuwa yenye kanuni madhubuti, itachezwa sambamba na Ligi Kuu ya wanaume, kabla ya mechi za timu za wakubwa, zitatangulia mechi za vijana na kwamba kila timu itasafirisha timu yake ya vijana kwa mechi za mikoani. 
Malinzi amesema Ligi ya Wanawake itaanza na timu 10 baada ya hapo Chama Cha Soka ya Wanawake (TWFA) kitatengeneza muundo wa timu kupanda na kushuka.
Kuhusu Ligi ya vijana, Malinzi amesema wataunda kanuni kali za Ligi Kuu kuhakikisha klabu zote za ligi hiyo zinashiriki kikamilifu na kwamba klabu itakayoshindwa kuingiza kikosi cha vijana uwanjani itakatwa pointi tatu katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara  
Malinzi amesema kila klabu ya Ligi Kuu itawajibika kuwa na timu ya U20 kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa mashindano haya zitatungwa na TFF na Ligi hizi zitaanza msimu wa 2016/2017.
Wakati wa kusaini Mkataba, Malinzi alisema Ligi ya Wanawake itaanza Agosti na Ligi ya U-20 itaanza sambamba na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambayo ilianza wiki iliyopita.
Lakini hadi leo siyo tu hakuna ligi iliyoanza kati ya hizo, ya U-20 na ya Wanawake bali pia hata ratiba zake hazijatoka.
Na mkakati wa TFF kupata timu ya Olimpiki ya 2020 unaanzia kwenye Ligi ya U-20, ambayo imeanza kusuasua mapema. Tuseme hizi ni dalili za TFF kushindwa mapema kupata timu ya kufuzu Olimpiki ya Tokyo? Nauliza tu.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2bXlzxH best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang DILILI ZA TFF KUFELI MAPEMA KUPATA KIKOSI CHA OLIMPIKI YA TOKYO 2020?. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/08/dilili-za-tff-kufeli-mapema-kupata.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 22.25
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: DILILI ZA TFF KUFELI MAPEMA KUPATA KIKOSI CHA OLIMPIKI YA TOKYO 2020?