RATIBA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA
Sept 16-18, 2016
Zamalek (Misri) Vs Wydad Athletic Club (Morocco)
Zesco (Zambia) Vs Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
RATIBA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Sept 23-25, 2016
TP Mazembe (DRC) Vs Etoile du Sahel (Tunisia)
MO Bejaia (Algeria) Vs FUS Rabat (Morocco)
|
TP Mazembe itamenyana na Etoile du Sahel ya Tunisia katika Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika |
TIMU za Kusini mwa Afrika zitamenyana zenyewe kwa zenyewe katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama itakavyokuwa kwa timu za Kaskazini mwa Bara kuelekea kwenye kinyang'anyiro cha dola za Kimarekani Milioni 1.5 na tiketi ya kucheza Klabu Bingwa ya Dunia nchini Japan.
Mabingwa mara tano barani, Zamalek ya Misri watamenyana na vigogo wa Morocco, Wydad Athletic kuwania tiketi ya Fainali, wakati Zesco United ya Zambia itamenyana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Timu za Kusini mwa Afrika zimefuzu pasipo kutarajiwa hususan Zesco, ambayo ilikuwa kundi moja na mabingwa watatu wa zamani, Al Ahly ya Misri, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Wydad.
Wakiwa wanakwenda Nusu Fainali kwa mara ya pili tu, Zesco inatarajiwa kuitoa Sundowns, iliyofungwa katika fainali miaka 15 iliyopita.
Kwa Zamalek, hii inaakuwa mara ya kwanza kufika Nusu Fainali tangu mwaka 2005, wakati Wydad walifika hatua hiyo kwa mara ya mwisho mwaka 2011, kabla ya kufungwa na Esperance ya Tunisia kwenye fainali.
Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa wikiendi ya Septemba 16 hadi 18, wakati marudiano yatakuwa wikiendi ya Septemba 23 na 25.
Na katika Kombe la Shirikisho, TP Mazembe ya DRC itamenyana na Etoile du Sahel ya Tunisia wakati MO Bejaia ya Algeria itamenyana na FUS Rabat ya Morocco katika Nusu Fainali.
Mechi za kwanza pia zinatarajiwa kuchezwa wikiendi ya Septemba 16 hadi 18, wakati marudiano yatakuwa wikiendi ya Septemba 23 na 25.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2bidggs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAZEMBE KUMENYANA NA ETOILE DU SAHEL NUSU FAINALI AFRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/08/mazembe-kumenyana-na-etoile-du-sahel.html. Terimakasih atas perhatiannya.