Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
TANZANIA imefungwa mabao 7-3 na Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika soka la Ufukweni baadaye mwaka huu Lagos.
Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wageni walianza vizuri na kufanikiwa kuongoza kwa mabao 2-1 hadi mwisho wa robo ya kwanza.
Lakini wenyeji wakajitutumua na kumaliza robo ya pili wakiwa wamefungana mabao 3-3.
|
Mchezaji wa Tanzania, Samuel Sarungi (kushoto) akimtoka mchezaji wa Ivory Coast, Kouassitch Daniel leo Uwanja wa Karume |
|
Rolland Revocatus Kessy (kushoto) akipiga kichwa mbele ya Djere Fabien Sola |
Hata hivyo, mambo yakawa magumu upande wa wenyeji kuanzia robo ya tatu na kujikuta wanamaliza mchezo wakiwa wameloa 7-3.
Mabao ya Ivory Coast yamefungwa na Kablan Assouan Bile matano na Aka Kablan Frederick mawili, wakati ya Tanzania yamefungwa na Ally Rabi Abdallah mawili na Kashiru Salum Said.
Kikosi cha Tanzania kilikuwa; Ally Rabby Abdallah, Rajab Ghana Kipango, Roland Revocatus Kessy, Juma Sultan Ibrahim, Ahmada Abdi Ahmada.
Wlioanzia benchi; Ahmed Rajab Juma, Yakoub Mohammed Nassor, Samuel Sarungin Opanga, Kashiru Salum Said na Mohamed Makame Silima
Ivory Coast; Djedjed Guy Hans, Kouassitch Daniel, Aka Kablan Frederick, Kouadio Brou Armand na Kablan Assouan Bile.
Walioanzia benchi; Aidara Mory, Djere Fabien Sola, Eric Tchetche, Didier Kebletchi, Zemene Gnoleba, Soro Kingman na Badi Anouma.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2blu6Iz
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TANZANIA YAPIGWA ‘WIKI’ NA IVORY COAST SOKA LA UFUKWENI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/08/tanzania-yapigwa-wiki-na-ivory-coast.html. Terimakasih atas perhatiannya.