TIMU ya Medeama ya Ghana imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Afrika licha ya kufungwa 1-0 na wenyeji Mouloudia Olympique de Bejaia Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia.
Bao pekee la ushindi la wenyeji limefungwa na kiungo raia wa Chad, Morgan Betorangal dakika ya akimalizia pasi ya Kamel Yesli.
Lakini Medeama inafanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kundi A kwa pointi zake nane, sawa na MO Bejaia, lakini timu ya Ghana inafuzu kwa mabao mengi ya kufunga.
Medeama inaungana na vinara wa kundi hilo, Mazembe waliomaliza na pointi 13, wakati Yanga ya Tanzania imeshika mkia kwa pointi zake nne.
MSIMAMO WA KUNDI A
|
1 |
TP Mazembe |
6 |
4 |
1 |
1 |
10 |
5 |
5 |
13 |
2 |
Medeama |
6 |
2 |
2 |
2 |
8 |
8 |
0 |
8 |
3 |
Mouloudia Bejaia |
6 |
2 |
2 |
2 |
2 |
2 |
0 |
8 |
4 |
Young Africans |
6 |
1 |
1 |
4 |
4 |
9 |
-5 |
4 |
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2bxq4xb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms