KWA mara ya kwanza katika hisrtoria yao, Bechem United imetwaa ubingw awa Kombe la la Chama cha Soka Ghana baada ya kuifunga Okwawu United 2-1 katika fainali mwishoni mwa wiki, Jumapili ya Septemba 4 mjini Cape Coast.
Yaw Arnol alifunga mabao mawili kuipa ushindi huo timu hiyo ya Ligi Kuu ya Ghana, huku Akoto Danso akiwafungia Okwawu bao la kufutia machozi.
Baada ya kutofungana kipindi cha kwanza, Arnol aliifungia Bechem bao la kwanza dakika ya 55 kwa shuti kali.
Okwawu, mabingwa wa michuano hiyo mwaka 1986, wakasawazisha bao hilo dakika ya 63 wakati Danso alipomalizia krosi ya Maclin Ampadu.
Arnol akaifungia bao la ushindi Bechem mwishoni mwa mchezo akimalizia pasi ya Abednago Tetteh.
Kwa matokeo hayo, Bechem itaiwakilisha Ghana kwenye Kombe la Shirikisho Afrika mwakani, hiyo ikiwa mara yao ya kwanza kucheza michuano ya Afrika.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2cHFp3F
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BECHEM UNITED WATWAA KOMBE LA FA GHANA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/bechem-united-watwaa-kombe-la-fa-ghana.html. Terimakasih atas perhatiannya.