Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imemuuza mshambuliaji wake hatari, Danny Lyanga (pichani kulia) kwa klabu ya Oman SC ya Ligi Kuu ya Oman.
Lyanga aliyejiunga na Simba SC msimu uliopita kutoka DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yupo Oman tangu mwezi uliopita.
Na chanzo kimesema mshambuliaji huyo mwenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira anaendelea vizuri katika klabu hiyo ya Jiji la Muscat.
Hata hivyo, haijajulikana Lyanga amesaini miaka mingapi na Simba SC imemuuza kwa kiasi gani cha fedha kwenda klabu hiyo ya Oman.
Lyanga alikuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake Simba SC na ni kati ya wachezaji ambao huwezi kusita kusema walifanya vizuri msimu uliopita klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2cMaFyb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA YAMPIGA BEI UARABUNI STRAIKA WAKE ILIYEMTOA KONGO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/09/simba-yampiga-bei-uarabuni-straika-wake.html. Terimakasih atas perhatiannya.