Na Mwandishi Wetu, MWANZA
YANGA itaendelea kumkosa tegemeo lake la mabao, Amissi Joselyn Tambwe katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Toto Africans Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Kikosi cha timu ya kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm kwa ajili ya mchezo wa jioni ya leo kimekwishatoka na kwa mara ya pili mfululizo washambuliaji wa zamani wa FC Platinums ya Zimbabwe, Donald Ngoma na Obrey Chirwa wameanzishwa pamoja.
Mzimbabwe Ngoma aliye katika msimu wake wa pili Yanga alianzishwa na Mzambia Chirwa aliyesajiliwa msimu huu katika mchezo uliopita timu hiyo ikilazimishwa sare ya 0-0 na Azam FC.
Kikosi kamili cha Yanga leo ni; Deo Munishi 'Dida', Hassan Kessy, Oscar Joshua, Andrew Vincent 'Dante', Kevin Yondan, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Ngoma, Chirwa na Deus Kaseke.
Katika benchi wapo; Beno Kakolanya, Mwinyi Hajji, Nadir Haroub 'Cannavaro', Saidi Juma 'Makapu', Thabani Kamusoko, Matheo Anthony na Juma Mahadhi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2ertPFh
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NA LEO TAMBWE HAYUMO KABISAA KIKOSINI YANGA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/na-leo-tambwe-hayumo-kabisaa-kikosini.html. Terimakasih atas perhatiannya.