KOCHA wa Uganda, The Cranes, Milutin Sredojevic 'Micho' ametaja orodha ya mwisho ya wachezaji 19 watakaomenyana na Togo mjini Lome Oktoba 4, mwaka huu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa, akimtema mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi.
Mserbia huyo, Micho amemchukua mshambuliaji mwingine wa zamani wa Simba na Yanga, Hamisi Kiiza 'Diego' katika kikosi hicho ambacho kitamenyana pia na Ghana Oktoba 7 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Urusi mjini Tamale.
Emmanuel Okwi (kulia) ametemwa kikosi cha Uganda, wakati Hamisi Kiiza 'Diego' amebaki
Kikosi kamili aklichoteua Micho kinaundwa na makipa; Onyango Denis, Jamal Salim na Ochan Benjamin
Mabeki: Wadada Nicholas, Iguma Denis, Isinde Isaac, Juuko Murushid, Ochaya Joseph na Walusimbi Godfrey.
Viungo: Wasswa Hassan, Kizito Geoffrey, Aucho Khalid, Mawejje Tony na Oloya Moses.
Washambuliaji: Kizito Luwagga, Miya Faruku, Massa Geoffrey, Kiiza Hamis na Sentamu Yunus.
Timu hiyo iliyofanya mazoezi kwa mara mbili jana na leo Uwanja wa Taifa wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda inatarajiwa kuondoka usiku wa leo kwa ndege ya Ethiopia.
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), Darius Mugoye atasafiri na timu hiyo kama Mkuu wa msafara na timu hiyo inaondoka baada ya kupewa Sh. Milioni 6620 za Uganda na Rais wa Jamhuri ya nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni kusaidia maandalizi dhidi ya Ghana.
Rais Museveni alimpigia simu binafsi, Rais wa FUFA, Mhandisi Moses Magogo jana kumpa ujumbe huo auwasilishe kwa wachezaji kuelekea mechi hiyo ya nyumbani.
Wachezaji wanaotarajiwa kusafiri kutoka Kampala ni Patrick Ochan, Wadada, Kizito Geoffrey, Ochaya, Wasswa, Aucho na Tony Mawejje.
Denis Onyango atawasili kesho na kuunganisha ndege kwenda Lome, Togo. Sentamu na Luwagga wataungna na timu mjini Lome wakati wachezaji wengine wataungana na timu Addis Ababa usiku wa leo kuunganisha safari ya kwenda Lome.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dilZDa
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OKWI ATEMWA, KIIZA APETA KIKOSI CHA UGANDA THE CRANES. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/okwi-atemwa-kiiza-apeta-kikosi-cha.html. Terimakasih atas perhatiannya.