Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba ataendelea kubadilisha badilisha wachezaji katika mechi zijazo ili kuwapa nafasi ya kupumzika baina yao.
Akizungumza jana kwa simu kutoka Mwanza, Pluijm alisema kwamba baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Toto Africans, sasa anaelekeza nguvu zake katika mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar Jumamosi mjini Bukoba.
Na amesema kwamba timu yake jana ilicheza vizuri kwa kuwa kuna baadhi ya wachezaji aliwatumia baada ya mapumziko ya muda mrefu. “Oscar Joshua, Hassan Kessy na Haruna Niyonzima wote wamepata mapumziko ya kutosha na jana (juzi) walicheza vizuri kwa sababu walikuwa wana hamu ya kucheza,”alisema.
Pluijm amesema kwamba ataendelea kubadilisha badilisha wachezaji katika mechi zijazo ili kuwapa nafasi ya kupumzika baina yao
Pluijm alisema kwamba ataendelea na mpango huo wa kubadilisha badilisha wachezaji ili kuwapa wote nafasi za kucheza na kupumzika.
Yanga SC juzi ilijiimarisha kidogo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Toto Africans Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya Mzambia Obrey Chirwa na mzawa Simon Msuva, Yanga inafikisha pointi 18 baada ya kucheza mechi tisa ingawa inaendelea kukamata nafasi ya tatu, nyuma ya Stand United na Simba.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2ezr7Pf
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PLUIJM AJA NA 'PLAN B' YANGA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/pluijm-aja-na-plan-b-yanga.html. Terimakasih atas perhatiannya.