• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2026 (50)
    • ►  Januari (50)
  • ►  2025 (318)
    • ►  Desember (70)
    • ►  November (4)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ▼  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ▼  Oktober (482)
      • KIPUTE CHA LIGI YA WANAWAKE CHAANZA LEO
      • PLUIJM: MTATUUA JAMANI, MECHI TATU WIKI MOJA!
      • MALINZI ATEULIWA KAMATI YA KUBADILI MUUNDO WA CAF
      • Football League Championship: Week 16 Preview
      • YANGA WAPATA MAPOKEZI MAZURI MBEYA
      • POLISI YAZUNGUMZIA KIFO CHA MASHALI, FAMILIA YATAJ...
      • MASHALI AUAWA AKIDHANIWA NI MWIZI KIMARA
      • YANGA WAPATA MAPOKEZI MAZURI MBEYA
      • UCL: Manchester City v Barcelona Preview
      • UEFA Champions League: Tuesday Preview
      • BONDIA MASHALI AUWAWA KIKATILI DAR, MWILI WAKE WAT...
      • Kenilworth Tuesday 1 November Best Bets
      • MUZAMIL YASSIN AUMIA ENKA SIMBA IKIJIANDAA NA STAN...
      • RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULI...
      • CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 ...
      • YANGA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA UHURU
      • BARCELONA 1-0 GRANADA
      • SOUTHAMPTON 0-2 CHELSEA
      • YANGA KIBOKO, MBAO WAMEKUFA 3-0 KAMA WAMESIMAMA
      • TAMBWE ANAANZA NA CHIRWA LEO YANGA DHIDI YA MBAO, ...
      • KOCHA WA MAZEMBE AIHOFIA BEJAIA FAINALI KOMBE LA S...
      • Flamingo Park Monday 31 October 2016 Best Bets
      • KWA NINI HUYU SINGANO 'MESSI' WA AZAM FC KAJIFUNIK...
      • ADEBAYOR SAFARI KWENYE SIASA NINI?
      • HUO UBISHI WA MBAO HATA KWA YANGA, AU ILIKUWA KWA ...
      • DEWJI ALIVYOTUMIA MADARAKA YAKE STARS KUMHAMISHIA ...
      • NI AGIZO LA KIGANJA ‘MBAYA WA MANJI’, AU AGIZO LA ...
      • BARCELONA 1-0 GRANADA
      • CRYSTAL PALACE 2-4 LIVERPOOL
      • SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK IKIUA 2-1 UBELGIJI
      • RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID...
      • LIVERPOOL YAUA 4-2 UGENINI ENGLAND
      • WEST BROMWICH 0-4 MAN CITY
      • ALAVES 1-4 REAL MADRID
      • MAN UNITED 0-0 BURNLEY
      • SUNDERLAND 1-4 ARSENAL
      • AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS
      • AGUERO AFIKISHA MABAO 149 MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND
      • MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKIN...
      • GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL Y...
      • SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAWAPIGA 3-0 M...
      • Fairview Sunday 30 October 2016 Best Bets
      • SIMBA SC KUENDELEZA UBABE LIGI KUU LEO?
      • RONALDO AREJEA KIKOSINI REAL MADRID IKIIVAA ALAVES...
      • PLUIJM: NIMEKUBALI KIROHO SAFI KURUDI KAZINI YANGA
      • AZAM FC YAITANDIKA 3-2 KAGERA SUGAR UWANJA WA KAITABA
      • MAN UNITED YATEGESHEWA NYUNDO ROBO FAINALI KOMBE L...
      • India vs New Zealand: Fifth ODI Preview
      • MWIGULU AMRUDISHA KAZINI PLUIJM YANGA
      • Writer's Weekend Treble
      • Florida Lotto 6/53 - Lucky Numbers
      • Vaal Saturday 29 October 2016 Best Bets
      • THOM ULIMWENGU AKIJIFUA KIVYAKE MCHANGANI
      • YANGA YAWASUBIRI BMT MLANGONI NA BARUA YA ‘KUMPIGA...
      • SIMBA WAITAFUTIA MAJIBU SERIKALI KUMZUIA MO DEWJI ...
      • Kenilworth Saturday 29 October Best Bets
      • KIPA NAMBA MOJA AREJEA MTIBWA
      • AZAM FC YAWAFARIJI WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI...
      • MAREFA WA KIKE WAMEGEWA SHAVU LIGI YA WANAWAKE
      • Mitre 10 Cup: Premiership Final Canterbury v Tasma...
      • EPL: Everton v West Ham Preview
      • EPL: Tottenham v Leicester Preview
      • Fairview Friday 28 October 2016 Best Bets
      • Greyville Friday 28 October 2016 Best Bets
      • WEST HAM 2-1 CHELSEA
      • MAN UNITED 1-0 MAN CITY
      • YANGA NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA UHURU
      • CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM
      • CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST GAM 2-1 NA WAG
      • MATA AMPA AHUENI MOURINHO, MAN UNITED YAIPIGA 1-0 ...
      • SERIKALI YAWAAMBIA MANJI, DEWJI; "ANZISHENI TIMU Z...
      • FARID MUSSA APATA KIBALI CHA KUFANYA KAZI HISPANIA
      • TAMBWE ATOKEA BENCHI NA KUPIGA MBILI, YANGA YAUA 4-0
      • Mitre 10 Cup: Championship Final Otago v Northland...
      • German Bundesliga: Week 9 Preview
      • Spanish La Liga: Week 10 Preview
      • South African PSL: Week 7 Preview
      • The WGC HSBC Champions 2016 Preview
      • EPL: Week 10 Preview
      • EPL: Southampton v Chelsea Preview
      • USSD Ticket Check
      • Vaal Thursday 27 October 2016 Best Bets
      • YANGA BILA PLUIJM ITAVUNA NINI KWA JKT RUVU LEO?
      • KIKOSI CHA KILICHOREJESHA HESHIMA SIMBA SC MWAKA 1991
      • YANGA IMETUMIA VIGEZO VIPI KUMUONDOA PLUIJM?
      • ARSENAL 2-0 READING
      • LIVERPOOL 2-1 TOTTENHAM
      • OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YAUA 2-0
      • LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND
      • SIMBA WALIVYOPAA KWA NDEGE LEO KUIFUATA MWADUI
      • AZAM FCA WATUA KUIONGEZEA MACHUNGU KAGERA SUGAR
      • ATLETICO MADRID WATAWALA TUZO ZA LA LIGA, BARCA WA...
      • Lucky Numbers: Daylight Savings Time Changes
      • South African PSL: Pirates v Chiefs Preview
      • Mexican Grand Prix 2016 Preview
      • India vs New Zealand: Fourth ODI Preview
      • PLUIJM AWAAGA WACHEZAJI WA YANGA, AWATAKIA KILA LA...
      • South African NFD: Week 8 Preview
      • Scottsville Wednesday 26 October 2016 Best Bets
      • Kenilworth Wednesday 26 October Best Bets
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » TAARIFA RASMI YA YANGA KUKODISHWA NA YANGA YETU

TAARIFA RASMI YA YANGA KUKODISHWA NA YANGA YETU

MUHTASARI WA MKATABA. 
1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club, (ambayo hapa inajulikana kama Mmiliki”) imeingia tarehe 3 September, 2016 Mkataba wa kukodishwa na kampuni ijulikanayo Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji” kwa muhtasari wa maazimio yaliyoafikiwa katika Mkutano Mkuu wa Young Africans Sports Club uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016 ulitambua kuwa Young Africans Sports Club (anayejulikana hapa kama “YANGA”): 

1.1 KWA KUWA, Timu ya Soka ya Mmiliki ni kongwe na yenye mafanikio kuliko timu ya soka nyingine zilizoko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye thamani kubwa kiutamaduni na kwa urithi wa Taifa, licha ya jitihada zake zote, inakabiliwa na changamoto za kifedha katika kuiendesha timu yake ya mpira wa miguu, kwa kuwa na usajili mdogo wa uanachama, ukosefu wa mapato,  ya ada za Wanachama, mifumo isiyo na ufanisi ya kiuendeshaji, kushindwa kujipatia kipato cha kibiashara kutoka katika hati miliki na nembo za kibiashara za Timu ya Soka ya YANGA kutoweza kujiendesha kibiashara na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Tanzania (TFF)- ambalo kwa mfululizo linasababisha YANGA kuiendesha Klabu yake kwa hasara na kuwa tegemezi kutoka kwa michango ya wahisani na kwa mikopo na kukabili changamoto hizi; na Mkutano wa Wanachama wa YANGA tarehe 6 Agosti 2016 uliazimia kugeuza hali hii kwa kukodisha Timu ya Soka ya YANGA ambayo ilikuwa inajiendesha kwa hasara na mapato madogo kupitia nembo yake na hakimiliki yake  (jina na nembo) kwa muda wa Miaka (10), ili kuikinga Klabu kutoendelea kujiendesha kihasara katika kipindi cha Miaka (10) ya ukodishwaji, ijipange  kiuwezo ili Timu ya Soka ya Mmiliki na hakimiliki za jina lake na nembo zitakapo rejeshwa baada ya kukodishwa kwa kipindi cha Miaka (10), YANGA itakuwa inaweza kujiendesha yenyewe na iwe na uwezo wa kifedha na iweze kushindana kikamilifu katika shughuli za mpira wa miguu.
2. Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji”) ni Kampuni iliyoundwa ili iweze kuingia katika Mkataba na YANGA ili iweze kutimiza malengo ya Klabu kama yalivyo azimiwa katika Mkutano wa Wanachama wa YANGA uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016.  
3. Baraza la Wadhamini wa Young Africans Sports Club baada ya mazungumzo na Mkodishwaji linapenda kuwafahamisha Wana YANGA kuhusu mambo muhimu yaliyomo kwenye Mkataba Huu ulioingiwa kwa kuzingatia na kwa haki miliki kutolewa kwa Mkodishwaji kwa njia ya Mkataba Huu, kwa kukodisha Timu ya Soka ya Mmiliki na haki zake zote, mamlaka na majukumu yote, jina lake  na nembo kwa ajili ya kutumika kiamani na kibiashara katika kuziendesha shughuli za Timu ya Soka ya Mmiliki bila ya kuwa na kuingiliwa katika muda wa  Mkataba huu kwa muda wa Miaka (10) kuanzia Tarehe ya Ufanisi ya 1 Septemba, 2016, ila kama utasitishwa kabla kufuatana na matakwa ya Mkataba:
3.1 Mkodishwaji atailipia YANGA deni la Shilingi bilioni kumi na moja na milioni mia sita na sabini na sita tu (Tshs. 11,676 billioni) inayodaiwa kama Mmiliki na Mkopeshaji mmoja.
3.2 Mkodishwaji atailipa YANGA Tshs 100 millioni kwa mwaka ambayo YANGA itawekeza kiwango kisichopungua (90%) ili kuimarisha mtandao wa Matawi yake.
3.3 Mkodishwaji atailipa YANGA katika mwaka wa fedha wowote ule kukiwa kuna faida ya fedha taslim ya asilimia 25% fedha ambayo YANGA itaitumia kujenga uwanja wake wa mpira.
3.4 Mkodishwaji atalipa hasara za uendeshadji zilizoko katika Mkataba kutoka kwenye mfuko wake bila ya kuweka madai kwa YANGA.
3.5 Mkodishwaji ataanza kuwekeza kwa vitega uchumi kuanzia siku (90) ya Mkataba katika mafunzo na vifaa, ambavyo kutakuwepo kiwanja cha mafunzo ya mpira katika sehemu atakayo ona inafaa kwake yeye Mkodishwaji.
3.6 Mkodishwaji atahakikisha kuwa majukumu yote ya kifedha ya Timu ya Soka ya YANGA ikijumlishwa ada ya usajili zinazotakiwa kuanzia Tarehe ya Ufanisi na majukumu mengine ya siku zijazo yanalipwa kulingana na mahitaji ya YANGA mapema kutoka kwenye mfuko wa Mkodishwaji.
3.7 Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya YANGA haitamaliza chini ya nafasi nusu mwisho wa msimu wa ligi ya Tanzania Premium League wakati ikiwa ndani ya kipindi cha Mkataba.
3.8 Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya Mmiliki iliyokodishwa katika kipindi cha misimu 3 mfululizo itamaliza ikiwa ni mshindi wa nafasi 2 za juu kwenye Tanzania Premium League.
3.9 Mkodishwaji, kwa kila mwaka atafadhili mashindano ya mpira katika mfumo utakao amuliwa na yeye Mkodishwaji kwa Timu ya Soka kwa vijana wenye umri chini ya miaka (18) na kila Tawi la Wanachama wa YANGA litaalikwa kutuma timu yake kushiriki katika shindano hilo.
3.10 Mkodishwaji atakabidhi kwa YANGA tuzo zozote au Nishani yoyote Timu ya Soka ya Mmiliki ikipata, na kuitaarifu YANGA kabla, pale itakapo wezekana, ili YANGA iweze kumteua mwakilishi wa kupokea tuzo hiyo kwa kuitambua Timu ya Soka ya Mmiliki. 
3.11 Mkodishwaji ataingia katika Mikataba yote ya ufadhili au mikataba yaleseni kwa kuitisha zabuni kupitia Zabuni za Umma.
3.12 Mkodiswaji ataunda na kuiendesha Timu ya Mpira wa Miguu ya vijana kulingana na kanuni na miongozo ya TFF. 
3.13 YANGA itateua moja kati ya kampuni Tano (5) za Ukaguzi Kongwe Duniani wa Mahesabu zije kukagua kwa kila mwaka hesabu za Mkodishwaji kuhakikisha hakuna ubadhirifu.
3.14 YANGA itakuwa na haki ya kipekee kabla ya Tarehe ya Ufanisi wa Mkataba huu kiwango chochote ambacho kinastahili kupata kutoka   TFF, ikiwemo Mkataba wa Azam TV ambao unakadiriwa kuwa shilingi milioni mia tatu (300,000,000) kwa matangazo ya msimu uliopita, mikataba ya ufadhili, madeni ambayo haijalipwa, fedha za zawadi, VAT kutoka TFF na fedha zingine zote zitapewa umuhimu wa nafasi ya kwanza katika matumizi ya kukamilisha majukumu ya zamani ya Timu ya Soka ya YANGA ambayo yalijilimbikiza na hayakuwa wamelipwa.
3.15 Mkataba huu utakapo fikia ukomo, YANGA itakuwa na haki ya kurejesha kile ilichokikodisha.
4. Ilikubaliwa kwamba YANGA:
4.1 Itajitahidi mnamo kipindi cha miaka miwili ya Mkataba itakuwa na Wanachama hai 100,000 na kwa kila Wanachama 100,000 itateua Mjumbe mmoja kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Mkodishwaji.
4.2 Itafanya kila juhudi ya kuongeza ardhi inayohitajika katika Makao Makuu yake yaliyopo mtaa wa Twiga ili iweze kujenga uwanja wa mpira unaofaa, ambao Mkodishwaji atawajibika kuchezea michezo yake ya Timu ya Soka ya YANGA, kwa masharti yatakayo kubaliwa baina ya Pande zote za Wahusika.
4.3 Itakuwa na haki katika wakati wowote ule ndani ya kipindi cha Mkataba kusitisha Mkataba ili mradi imfidie Mkodishwaji hasara zote za nyuma, ilipe malipo yote yaliyofanywa kwa YANGA na Mkodishwaji, inachukua mali zilizowekezwa na Mkodishwaji na kumfidia mapato ya siku zijazo – zote, hizi zikiwa zimetathminiwa na moja ya Kampuni za Wakaguzi (5) Kongwe Duniani.
4.4 Ikiwa Mkodishwaji atakarabati au atatumia mali yoyote ya YANGA ataifidia YANGA kwa masharti yaliyokubaliwa kwa masharti tofauti ya Mkataba Huu.
4.5 Mkodishwaji atakuwa na haki ya kipekee ya kiwakilishi (Exclusive Power of Attorney) kwa YANGA kufanya mikataba na TFF, CAF & FIFA kwa niaba ya YANGA bila ya kuingiliwa kati na YANGA lakini anapaswa atoe taarifa kuhusu uwakilishi huo kwa Baraza la wadhamini, kuanzia Tarehe ya Ufanisi wa Mkataba Huu pamoja na haki ya uwakilishi wa YANGA kwa: i) kuunda Kamati zinazohitajika na TFF, CAF na FIFA kuiendesha Timu ya Soka ya Mmiliki iliyokodishwa ii) kusajili au kulisimamisha benchi la ufundi na wachezaji kutoka Timu ya Soka ya YANGA, iii) Kuwa Msemaji Mkuu wa Timu ya Soka ya YANGA kwa Umma.

5. KUFUNGA.
5.1 Bodi ya Wadhamini wa YANGA inapenda kumshukuru Bw. Yusuf Mehbub Manji kwa kupendekeza masharti bora kuliko yale yaliyoazimiwa na kukubalika kwa Wanachama kwa manufaa ya YANGA, na tunampigia saluti uchangiaji wake usio na choyo kwa manufaa ya YANGA.
5.2 Tungependa kuufahamisha Umma kwamba Bw. Yusuf Mehbub Manji ametaka kujiuzulu kutoka Uenyekiti wa Klabu ili kuepusha mgongano wa kimaslahi, lakini tumelikataa ombi lake hili – kwa vile nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu, Wanachama wameonyesha kwa kura zao kuwa wana imani na uongozi wake, kwa vile wakati wa majadiliano, haweki maslahi yake binafsi juu ya yale ya Klabu, lakini anajaribu kadri iwezekanavyo kuisaidia Klabu kuweza kujitegemea kifedha haraka iwezekanavyo ili kuendelea kushindana katika mpira wa miguu kwa kiwango cha juu zaidi, hapohapo akilinda urithi wa Klabu na utamaduni – sifa ambayo tunaihitaji katika Mwenyekiti wa YANGA na kama akijiuzulu kutoka kwenye Klabu, tutakuwa tumempoteza kiongozi mwenye uzoefu na maadili ya  hali ya juu wakati tunapofanya mageuzi ya YANGA.
Tunachukua fursa hii kuwafahamisha Wanachama na Mashabiki kuwa   kuna kazi nyingi kwa faida ya YANGA ambazo Bw. Yusuf Manji anazifanya ambazo hazionekani mbele ya jamii: kitu ambacho kinahitajika katika Klabu. Tunapenda kuwafahamisha Wanachama na Mashabiki wawe waangalifu na maneno yao, kwa vile kauli za maneno ya matusi zinaumiza na zinawavunja moyo viongozi kama Bw. Yusuf Manji ambao tunafahamu hawagombei nafasi za Uongozi wa ndani ya Klabu, kwa sababu wanachukizwa na kutukanwa na Wanachama na hivyo basi, tunawapa mawaidha Wanachama, kwa manufaa ya Klabu watoe maoni yao kuhusu mambo ya soka na utawala wa soka, na siyo kwa watu na familia zao.
5.3 Sasa tunapenda kuwafahamisha Wanachama wa YANGA na Wapenzi wa YANGA kuwa kilichotiwa saini baina ya Pande Zote ni Mkataba ya kihistoria, na kama yakitekelezwa na pande zote mbili, YANGA itanufaika kwa hali ya juu mno kutokana na mazingatio na ushahidi iliyoupata kupitia Baraza lake la Wadhamini kwenye Mkataba wa ukodishwaji.
5.4 Mwisho, tumeombwa na Bw. Yusuf Manji tutangaze hadharani Mkataba Huu, hata hivyo bado tunajadiliana kama kutangazwa huko kutakuwa kwa manufaa ya Klabu, kwa kuwa, kwa upande mmoja ni vema kuwa na uwazi, lakini kwa upande mwingine washindani wa Klabu yetu   wataiga Mkataba wetu kwa manufaa yao.

YANGA 
DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
………………………………………….
BODI YA WADHAMINI WA YANGA


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dvCs3H best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TAARIFA RASMI YA YANGA KUKODISHWA NA YANGA YETU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/taarifa-rasmi-ya-yanga-kukodishwa-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 22.31
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MTANZANIA Alice Gyunda miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha taj...
  • BARCELONA 3-1 ALAVES
    BARCELONA 3-1 ALAVES
    from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s2Iqyx
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • ARSENAL YAMUONGEZEA MSHAHARA SANCHEZ ASIENDE BAYERN MUNICH
    KLABU ya Arsenal imempa ofa nyingine mshambuliaji wake, Alexis Sanchez aachane na mpango wa kwenda Bayern Munich na abaki Emirates. Ofa mp...
  • EPL: Week 36 Preview
    EPL: Week 36 Preview
    We preview week 36 of the 2017/18 English Premier League season which is set to get underway on Saturday 28 April.  We’re into the final s...
  • Woolavington 2000 - Final Field
    View the final field and betting for the Grade 1 Woolavington 2000 at Greyille this Saturday 3 June 2017. The final field for the Woolav...
  • NFD: Week 20 Preview
    NFD: Week 20 Preview
    This will be a tricky week in the GladAfrica Championship with some of the teams having the Nedbank Cup last 32 action in mind. However, I...
  • Cup Finals Weekend Preview
    We take a look at this weekend's big European Cup Final ties. Most of Europe’s big leagues are done and dusted but there’s still the...
  • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    BAO pekee la beki wa kimataifa wa England, Ben Chilwell dakika ya 45 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford Uwanja wa...
  • YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    KLABU ya Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili, Dickson Ambundo na Mrundi Saido Ntibanzokiza kuelekea mechi ya Fainali ya Kombe la S...
Copyright Viral Sports: TAARIFA RASMI YA YANGA KUKODISHWA NA YANGA YETU