TIMU ya taifa ya Uganda imelazimisha sare ya 0-0 na wenyeji Ghana maarufu kama Black Stars katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Uruei uliofanyika Ijumaa Uwanja wa Tamale.
The Cranes walionyesha kiwango kizuri ukiwa mwendelezo wa kuwapa raha Waganda baada ya kufuzu Fainali za Kombe la TOTAL Afrika nchini Gabon 2017 wakitumia mchezo wa kujihami kwa nidhamu ya hali ya juu.
Sifa zimuendee kipa wa The Cranes inayofundishwa na Mserbia, Milutin 'Micho' Sredojevic, Denis Onyango anayedakia klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa kuokoa michomo mingi ya hatari.
Na Wageni walikaribia kupata bao dakika ya 20 wakati Khalid Aucho aliposhindwa kumaliza kazi nzuri ya Farouk Miya.
Jordan Ayew, Nahodha Asamoah Gyan na Christian Atsu baadaye wote wakapoteza nafasi nzuri za kuifungia Ghana.
Kongo itakuwa mwenyeji wa Misri katika mchezo mwingine wa ufunguzi wa Kundi E Jumapili mjini Kintele.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2dSA4BF
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang UGANDA WALAZIMISHA SARE UGENINI GHANA, 0-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/uganda-walazimisha-sare-ugenini-ghana-0.html. Terimakasih atas perhatiannya.