Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KOCHA wa Kagera Sugar, Mecky Mexime amesema kwamba hafikirii kuongeza wachezaji katika kikosi chake katika usajili huu wa dirisha dogo, kwa sababu anaamini ana timu nzuri.
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports - Online leo kwa simu kutoka Bukoba, Mexime amesema kwamba hawaoni sababu ya kusajili kwa fasheni zaidi ya kufanya hivyo kwa kuzingatia mahitaji ya timu.
Nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kwamba baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara walijifanyia tathmini na kubaini hawana mapungufu ya wachezaji.
Mecky Mexime amesema kwamba hafikirii kuongeza wachezaji katika kikosi chake katika usajili huu wa dirisha dogo
“Sisi tunaona kabisa timu yetu iko vizuri, na baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza tumeona tuelekeze nguvu zetu kwenye maandalizi zaidi, kwani wachezaji tunao wazuri,”amesema beki huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Na Mexime amesema timu yake ilianza maandalizi ya Ligi Kuu tangu juzi kambini kwao, Misenyi na wachezaji wote wamekwisharipoti. “Tutakuwa na mazoezi ya kujenga stamina kwa kipindi chote kilichosalia kumaliza mwezi huu hadi wiki ya kwanza ya Desemba. Baada ya hapo tutaanza mazoezi ya mbinu za mchezo na wiki mbili baadaye tunaweza kucheza mechi za kujipima nguvu,”amesema.
Kagera Sugar ilimaliza katika nafasi ya nne baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutokana na pointi zake 24 za mechi 15, ikizidiwa pointi 11 na vinara Simba SC.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fWwDhR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MEXIME ASEMA KAGERA SUGAR HAIHITAJI NGUVU MPYA, IPO SAWA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/mexime-asema-kagera-sugar-haihitaji.html. Terimakasih atas perhatiannya.