MWANASOKA Bora wa zamani Afrika, Samuel Eto'o yu hatarini kwenda jela zaidi ya miaka 10 kutokana na tuhuma za kukwepa kodi enzi zake anacheza Barcelona ya Hispania.
Waendesha mashiaka pia wanataka Nahodha huyo wa zamani wa Cameroon alipe faini ya dola za KimarekaniMilioni 15.1 kwa makosa manne ya ukwepaji kodi ya Mamlaka ya Kodi Hispania kiasi cha zaidi ya dola Milioni 4 za Marekani kuanzia mwaka 2006 hadi 2009.
Waendesha mashitaka wanataka hatua kama hizo zichukuliwe pia kwa mwakilishi wa wakati huo, Jose Maria Mesalles Mata.
Samuel Eto'o yu hatarini kwenda jela zaidi ya miaka 10 kutokana na tuhuma za kukwepa kodi enzi zake anacheza Barcelona
Eto'o alicheza mechi 198 enzi zake Barcelona kuanzia mwaka 2004 hadi 2009, akifunga mabao 129 na kushinda mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa na matatu ya La Liga kabla ya kuhamia Inter Milan. Mshambuliaji huyo pia alicheza Ligi Kuu ya England katika timu za Chelsea na Everton.
Julai mwaka huu, Lionel Messi na baba yake walihukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kwa makosa ya kukwepa kodi, lakini hawakwenda jela kwa sababu hukumu ya kifungo cha chini ya miaka miwili mara ya kwanza kwa muhusika hafungwi nchini Hispania.
Neymar na Barcelona pia wanakabiliwa na tuhuma kama hizo juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kutoka kwao, Brazil.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gmiStm
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms