Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepokea kwa masikitikio makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Sheikh Said Muhammad Abeid, kilichotokea jana alasiri katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Sheikh Said Muhammad Abeid anazikwa jioni ya leo makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam
Katibu wa TASWA, Amir Mhando amesema leo katika taarifa yake kwamba Mzee Said atakumbukwa na waandishi wa habari za michezo kutokana na ukaribu wake na wanahabari na alikuwa na ushirikiano wa kutosha pale alipoombwa kufanya hivyo, alikuwa kiungo kikubwa kwa TASWA kufanikisha matukio mbalimbali ya udhamini.
Mhando amesema TASWA inatoa pole kwa familia ya marehemu, klabu ya Azam na wanamichezo wote hapa nchini katika kuomboleza kifo cha Mzee Said, huku tukiwatakia moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
"Itoshe kusema tumepoteza mtu muhimu sana, ambaye mchango wake na uhodari havitasahaulika kwa wadau wa michezo," alisema Amir Mhando.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fzk4am
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TASWA WAMLILIA MWENYEKITI AZAM. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/11/taswa-wamlilia-mwenyekiti-azam.html. Terimakasih atas perhatiannya.