MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann amedokezea uelekeo wake Manchester United akisema zimebaki hatua nne za kukaribia Old Trafford kati ya 10.
Bin Zubeiry Sports - Online mara kadhaa imeandika juu ya nyota huyo wa Ufaransa ambaye dili lake linaweza kugharimu Pauni Milioni 155 likihusisha ada ya uhamisho na mshahara kwa miaka mitano inayopendekezwa kutakiwa United.
Griezmann anatarajiwa kuwa mmoia wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa Ligi Kuu England, kiasi cha Pauni 295,000 kwa wiki na uhamisho wake unaweza kugharimu Pauni Milioni 80 kutoka klabu hiyo ya Hispania. Griezmann, mwenye umri wa miaka 26, amesema; "Nafikiri mustakabali wangu utaamuliwa wiki mbili zijazo,".
Antoine Griezmann amesema yuko karibuni kabisa kujiunga na Manchester United
PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alipoulizwa kama United ndiyo kitakuwa kituo chake kifuatacho, akasema; "Inawezekana. Naweza kukupa uhakika wa sita kati ya 10,".
Na kuhusu kubaki Atletico Madrid, Griezmann akasema: "Kuna saba kati ya 10 ya nafasi ya kubaki,".
Inafahamika ushindi kwa United dhidi ya Ajax katika fainali ya Europa League utawahakikishia nafasi katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao, hivyo watajiongezea nafasi za kumpata mchezaji huyo.
Griezmann, anayevaa jezi namba 7 Atletico na timu ya taifa ya Ufaransa, pia alizungumzia namna anavyovutiwa na gwiji wa zamani wa Manchester United na England, mvaa namba 7 maarufu enzi zake, David Beckham
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2rOe95w
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang GRIEZMANN ASEMA KUTUA MAN UNITED NI "6 KWA 10. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/griezmann-asema-kutua-man-united-ni-6.html. Terimakasih atas perhatiannya.