Na Mwandishi Wetu, LIBREVILLE
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema kwamba wachezaji Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting na Simon Msuva wa Yanga waliofungana kwa mabao baada ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wote watapata zawadi.
Akizungumza leo mjini Libreville, Malinzi ambaye alikuwa na timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17 kwenye Fainali za Afrika, amesema Mussa na Msuva kila mmoja atapata Sh. Milioni 5.8 baada ya kumaliza na mabao 14.
Simon Msuva wa Yanga (kulia) atapata zawadi sawa na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting baada ya kufungana naye kwa mabao Ligi Kuu
“Kwa kuwa vijana wetu Abdulrahman Mussa na Simon Msuva wamefungana kwa mabao katika Ligi Kuu (kila mmoja 14), wote ni wafungaji bora na watapewa zawadi sawa Sh. Milioni 5.8,”amesema.
Ligi Kuu imefikia tamati Jumamosi kwa Yanga kutetea ubingwa, Simba nafasi ya pili na Kagera Sugar nafasi ya tatu, huku JKT Ruvu, African Lyon na Toto Africans zikiteremka daraja.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2q93K44
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms