Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho linatarajiwa kutoa ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyiwa marekebisho na ndani yake mchezo kati ya Azam FC na Simba SC uliokuwa ufanyike Septemba 6 umesogezwa mbele hadi Septemba 9.
Na hatua hiyo inafuatia maombi ya klabu ya Simba kutaka mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa wachezaji wake wawili tegemeo, beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi hawatakuwepo.
|
Emmanuel Okwi amekuwa sababu ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Azam na Simba |
Wawili hao wapo na timu yao ya taifa, Uganda ambayo inajiandaa kwa mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi dhidi ya wenyeji, Misri Septemba 5. Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo, Agosti 31 Uganda walishinda 1-0 mjini Kampala.
Hata Uganda wakiondoka Cairo siku moja tu baada ya mchezo hakuna namna Juuko na Okwi wanaweza kuwahi mechi na Azam jioni ya Septemba 6, hivyo TFF imeusogeza mbele mchezo huo hadi Septemba 9.
Na TFF imeiagiza Bodi ya Ligi kuhakikisha haipangi mechi wakati wa ratiba za michezo ya kimataifa, kuepuka mambo kama ambayo yanasababisha mechi ya Azam na Simba kusogezwa mbele.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2eQ6VtT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MECHI YA SIMBA NA AZAM YASOGEZWA MBELE SABABU YA OKWI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/09/mechi-ya-simba-na-azam-yasogezwa-mbele.html. Terimakasih atas perhatiannya.