• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ▼  September (518)
      • PSG 6-2 BORDEAUX
      • MAN UNITED 4-0 CRYSTAL PALACE
      • CHELSEA 0-1 MAN CITY
      • YANGA WALIOTOKA SARE YA 3-3 NA RAJA CASABLANCA DAR
      • KAMA ANCELOTTI AMEFUKUZWA BAYERN MUNICH, LWANDAMIN...
      • YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU
      • AZAM FC SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA DODOMA
      • SAMATTA MAMBO MAGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE T...
      • SAMATTA MAMBO MAGUGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE...
      • SAMATTA MAMBO MAGUGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE...
      • NEYMAR AFUNGA MAWILI, CAVANI, MBAPPE MOJA MOJA PSG...
      • MAN CITY YAIDONDOSHA CHELSEA DARAJANI, 1-0 MAMBO Y...
      • KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI
      • FELLAINI APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 ENGLAND
      • AZAM FC YAWACHOMOLEA SINGIDA UNITED DAKIKA ZA MWIS...
      • YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBW...
      • Vaal Saturday 30 September 2017 Best Bets
      • AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO KABLA YA KUIV...
      • YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO
      • Durbanville Saturday 30 September 2017 Best Bets
      • MBARAKA: KILA MECHI NI KAMA FAINALI AZAM
      • Sergio Aguero Injured in Car Crash
      • Currie Cup 2017: Sharks v Lions Preview
      • Rugby Championship: Argentina v New Zealand Preview
      • SAMATTA: USHINDANI UMEONGEZEKA LIGI YA UBELGIJI
      • AGUERO AVUNJIKA MBAVU KWENYE AJALI YA GARI UHOLANZI
      • Greyville Friday 29 September 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 29 September 2017 Best Bets
      • ROONEY AFUNGA LAKINI EVERTON 'YAKABWA KOO' NYUMBAN...
      • YANGA NAYO KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI TABORA
      • CECAFA CHALLENGE YARUDI, KUFANYIKA KENYA 2017
      • MECHI YA SUPERSPORT NA CLUB AFRICAIN YASOGEZWA MBELE
      • BATE BORISOV 2-4 ARSENAL
      • CARLO ANCELOTTI AFUKUZWA BAYERN MUNICH BAADA YA 3-...
      • WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENIN...
      • POULSEN AMUHAKIKISHIA NAFASI MAKAMBA NGORONGORO HE...
      • EPL: Week Seven Preview
      • Carlo Ancelotti Sacked
      • REFA WA MAJI NA MAJI APEWA ONYO KWA KUTOKUWA MAKIN...
      • NIGERIA KUWASILI DAR USIKU WA LEO KUIVAA TANZANIA ...
      • TASWA YALAANI KITENDO CHA CHIRWA KUMPIGA MWANDISHI
      • F1 2017: Malaysian Grand Prix Preview
      • Italian Serie A: Week Seven Preview
      • Opinion: Phehlukwayo before Parnell, please
      • PSG, Chelsea, and Man United Star in UEFA Champion...
      • French Ligue 1: Week Eight Preview
      • Rugby Championship: South Africa vs Australia
      • Scottish Premier League: Week Eight Preview
      • BARCELONA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA URENO, YAILAZA ...
      • LUKAKU AFUNGA MARA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-1 U...
      • CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 3-0 BAYERN...
      • BATSHUAYI AIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA DAKIKA YA MW...
      • MSUVA KUJIUNGA NA TAIFA STARS JUMATATU KWA MECHI N...
      • ARSENAL WALIVYOIFUATA BATE BORISOV LEO KWA EUROPA ...
      • German Bundesliga: Week Seven Preview
      • European Tour: British Masters
      • Stiff opening home assignment for Hollywoodbets Do...
      • Presidents Cup Preview
      • Turffontein Thursday 28 September 2017 Best Bets
      • SA NFD: Week Six Preview
      • Spanish La Liga: Week Seven Preview
      • Dutch Eredivisie: Week Seven Preview
      • EPL: Chelsea vs Manchester City Preview
      • PSL: Week Seven Preview
      • South Africa vs Bangladesh: First Test Preview
      • AZAM FC YAANZISHA LIGI YA VIJANA U-15, KUANZA OKTO...
      • Durbanville Wednesday 27 September 2017 Best Bets
      • BEN YEDDER APIGA HAT TRICK SEVILLA YAIFUMUA MARIBO...
      • RONALDO AFUNGA MAWILI, BALE MOJA REAL YAIZIMA BORU...
      • MAN CITY YASHINDA 2-0 NYUMBANI DHIDI YA SHAKHTAR
      • KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YASHINDA 3-0 UGENINI
      • COUTINHO AINUSURU LIVERPOOL KUGONGWA NA SPARTAK MO...
      • YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA UHURU KUJIANDAA NA M...
      • Our First El Clasico Winner: Josea Mphuthi
      • UEFA Champions League: Matchday Two Preview
      • KIM POULSEN AVUTIWA NA VIPAJI VYA VIJANA TANZANIA
      • UEFA Champions League: PSG v Bayern Munich Preview
      • Pakistan vs Sri Lanka: First Test Preview
      • KICHUYA AANZA MAZOEZI CHINI YA UANGALIZI WA DAKTAR...
      • India vs Australia: Fourth ODI Preview
      • LWANDAMINA AFURAHIA KUREJEA KWA AMISSI TAMBWE
      • REAL BETIS 4-0 LEVANTE
      • ARSENAL 2-0 WEST BROM
      • YAKUBU APANIA KUFANYA MAKUBWA ZAIDI BAADA YA KUSHI...
      • GARETH BARRY AVUNJA REKODI YA GIGGS LIGI KUU ENGLAND
      • LACAZETTE AANGUKIA KWENYE VIPIMO BAADA YA KUFUNGA ...
      • MRUNDI KUMRITHI PHIRI MBEYA CITY, APEWA MKATABA WA...
      • MAN UNITED WALIVYOONDOKA KUWAFUATA CSKA URUSI
      • LACAZETTE APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YASHINDA 2-0 E...
      • SIMBA SC: HAONDOKI OMOG, WALA YEYOTE KATIKA BENCHI...
      • Hollywoodbets KZN Inland win Africa T20 Cup final ...
      • KESI YA MANJI YA DAWA ZA KULEVYA YAANZA KUUNGURUMA...
      • RONALDO NDANI REAL MADRID SAFARINI UJERUMANI KUWAF...
      • Turffontein Monday 25 September 2017 Best Bets
      • MARCOS LLORENTE AJITIA KITANZI REAL MADRID HADI 2021
      • TP MAZEMBE YAENDA NUSU FAINALI KWA KISHINDO
      • OZIL NA SANCHEZ WOTE FITI ARSENAL IKIIKARIBISHA WE...
      • AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA UHURU
      • AZAM FC 1-0 LIPULI
      • AZAM FC YAIKAMATA MTIBWA SUGAR KILELENI LIGI KUU
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » WALIOTOKA NA KUINGIA KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND

WALIOTOKA NA KUINGIA KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND

DIRISHA la usajili Ulaya limefungwa usiku wa jana, huku ikishuhudiwa timu mbalimbali zikikamilisha usajili wa wachezaji muhimu zilizowahitaji dakika za mwishoni.
Kama ilivyo kawaida, Bin Zubeiry Sports – Online inakuletea usadili mzima wa klabu za Ligi Kuu ya England kwa wachezaji walioondoka na kuingia kutoka klabu zote.

Danny Drinkwater alikuwa mchezaji wa mwisho kusajiliwa Chelsea jana kwa Pauni Milioni 30 kutoka Leicester City 

ARSENAL
WALIOINGIA: Alexandre Lacazette kutoka Lyon, Pauni Milioni 53) na 
Sead Kolasinac huru kutoka Schalke) 
WALIOONDOKA: Alex Oxlade-Chamberlain kwenda Liverpool, Pauni Milini 35, Gabriel Paulista kwenda Valencia Pauni Milioni 11, Wojciech Szczesny kwenda Juventus Pauni Milioni 10, Kieran Gibbs (West Brom, Pauni Milioni 7), 
Ismael Bennacer (Empoli), Chris Willock (Benfica bure), Stefan O'Conner  (Newcastle United, bure), Glen Kamara (Dundee, bure), Yaya Sanogo (ameachwa), Lucas Perez (Deportivo mwa mkopo), Carl Jenkinson (Birmingham City mkopo), Emiliano Martinez (Getafe, mkopo), Joel Campbell (Real Betis, mkopo).

BOURNEMOUTH 
WALIOINGIA: Nathan Ake (Chelsea, Pauni Milioni 20), Asmir Begovic (Chelsea, Pauni Milioni 10), Jermain Defoe (Sunderland, bure), Connor Mahoney (Blackburn).
WALIOTOKA: Harry Cornick (Luton Town), Marc Wilson (Sunderland), Ryan Allsop (Blackpool, mkopo), Lewis Grabban (Sunderland, mkopo), Baily Cargill (Fleetwood Town, mkopo), Max Gradel (Toulouse, mkopo), Matt Worthington (Yeovil Town, mkopo). 

BRIGHTON & HOVE ALBION
WALIOINGIA: Jose Izquierdo (Club Bruges, Pauni Milioni 13.5), Davy Propper (PSV, Pauni Milioni 10), Markus Suttner (Ingolstadt, Pauni Milioni 2), Matthew Ryan (Valencia), Pascal Gross (Ingolstadt), Josh Kerr (Celtic), Soufyan Ahannach (Almere City), Ezequiel Schelotto (Sporting Lisbon), Izzy Brown (Chelsea, mkopo), Tim Krul (Newcastle United, mkopo). 
WALIOTOKA: Rob Hunt (Oldham Athletic), David Stockdale (Birmingham City, bure), Elvis Manu (Genclerbirligi, bure), Chris O'Grady (ameachewa), Casper Ankergren (amestaafu), Christian Walton (Wigan Athletic, mkopo), Oliver Norwood (Fulham, mkopo), Kazenga Lua Lua (QPR, mkopo), Rohan Ince (Bury, mkopo), Richie Towell (Rotherham United, mkopo).

BURNLEY: 
WALIOINGIA: Chris Wood (Leeds United, Pauni Milioni 15), Jack Cork (Swansea, Pauni Milioni 8), Nahki Wells (Huddersfield Town, Pauni Milioni 5),  
Charlie Taylor (Leeds, Pauni Milioni 5), Phil Bardsley (Stoke City, Pauni Milioni 1.5), Jon Walters (Stoke City), Adam Legzdins (Birmingham). 
WALIOTOKA: Michael Keane (Everton, Pauni Milioni 30), Andre Gray (Watford, Pauni Milioni 18.5), Tendayi Darikwa (Nottingham Forest), Rouwen Hennings (Fortuna Dusseldorf, bure), Michael Kightly (Southend United, bure), Joey Barton (bure), Chris Long (Northampton Town, mkopo) na Aiden O'Neill (Fleetwood Town, mkopo). 

CHELSEA:
WALIOINGIA: Alvaro Morata (Real Madrid, Pauni Milioni 70.6), Tiemoue Bakayoko (Monaco, Pauni Milioni 40), Antonio Rudiger (Roma, Pauni Milioni 31), Davide Zappacosta (Torino, Pauni Milioni 25), Ethan Ampadu (Exeter City), 
Willy Caballero (Manchester City, bure) na Danny Drinkwater (Leicester, Pauni Milioni 30). 
WALIOTOKA; Nemanja Matic (Manchester United, Pauni Milioni 40), Nathan Ake (Bournemouth Pauni Milioni 20), Juan Cuadrado (Juventus, Pauni Milioni 17), Asmir Begovic (Bournemouth, Pauni Milioni 10), Bertrand Traore (Lyon Pauni Milioni 8.8), Christian Atsu (Newcastle United, Pauni Milioni 6.2), Nathaniel Chalobah (Watford, Pauni Milioni 6), Dominic Solanke (Liverpool bure), Alex Kiwomya (Doncaster), John Terry (Aston Villa, bure), Ola Aina (Hull City, mkopo), Kasey Palmer (Huddersfield Town, mkopo), Tammy Abraham (Swansea City, mkopo), Ruben Loftus-Cheek (Crystal Palace, mkopo), Lucas Piazon (Fulham, mkopo), Marco van Ginkel (PSV Eindhoven, mkopo), Kurt Zouma (Stoke City, mkopo), Izzy Brown (Brighton, mkopo), Tomas Kalas (Fulham, mkopo), Michael Hector (Hull City, mkopo), Matt Miazga (Vitesse Arnhem, mkopo), Lewis Baker (Middlesbrough, mkopo), Jeremie Boga (Birmingham City, mkopo) na Fikayo Tomori (Hull City, mkopo).

CRYSTAL PALACE:
WALIOINGIA: Jairo Riedewald (Ajax, Pauni Milioni 8), Ruben Loftus-Cheek (Chelsea, mkopo), Timothy Fosu-Mensah (Manchester United, mkopo) na
Mamadou Sakho (Liverpool, Pauni Milioni 26). 
WALIOTOKA: Steve Mandanda (Marseille), Kwesi Appiah (Wimbledon bure), 
Zeki Fryers (Barnsley, bure), Fraizer Campbell (Hull City, bure), Jonny Williams (Sunderland, mkopo), Jonathan Benteke (ameachwa), Mathieu Flamini (ameachwa) na Joe Ledley (ameachwa).
  
EVERTON:
WALIOINGIA: Gylfi Sigurdsson (Swansea City, Pauni Milioni 45), Jordan Pickford (Sunderland Pauni Milioni 30), Michael Keane (Burnley, Pauni Milioni 30), Davy Klaassen (Ajax, Pauni Milioni 23.6), Nikola Vasic (Hajduk Split, Pauni Milioni 8), Henry Onyekuru (Eupen, Pauni Milioni 6.8), Sandro Ramirez (Malaga, Pauni Milioni 5.2), Wayne Rooney (Manchester United, bure) na Cuco Martina (Southampton, bure). 
WALIOTOKA: Romelu Lukaku (Man United, Pauni Milioni 75), Gerard Deulofeu (Barcelona, Pauni Milioni 10.5), Tom Cleverley (Watford, Pauni Milioni 8), Gareth Barry (West Bromwich Albion, Pauni Milioni 1), Aiden McGeady (Sunderland), Courtney Duffus (Oldham Athletic), Conor McAleny (Fleetwood Town, bure), Josef Yarney (Newcastle United, bure), Arouna Kone (ameachwa), Henry Onyekuru (Anderlecht, mkopo), Brendan Galloway (Sunderland, mkopo), Matthew Pennington (Leeds United, mkopo) na Kieran Dowell (Nottingham Forest, mkopo).

HUDDERSFIELD TOWN:
WALIOINGIA: Aaron Mooy (Manchester City, Pauni Milioni 10), Thomas Ince (Derby, Pauni Milioni 8), Laurent Depoitre (Porto, Pauni Milioni 3.5), Abdelhamid Sabiri (Nurnberg, Pauni Milioni 1), Steve Mounie (Montpellier), 
Scott Malone (Fulham), Mathias Jorgensen (Copenhagen), Danny Williams (Reading, bure), Jonas Lossl (Mainz, mkopo), Kasey Palmer (Chelsea, mkopo) na Florent Hadergjonaj (Ingolstadt, mkopo). 
WALIOTOKA: Nahki Wells (Burnley, Pauni Milioni 5), Joe Murphy (ameachwa)
Flo Bojaj (ameachwa), Tareiq Holmes-Dennis (Portsmouth, mkopo), Jordy Hiwula (Fleetwood Town, mkopo) na Jordan Williams (Bury, mkopo).

LEICESTER CITY
WALIOINGIA: Kelechi Iheanacho (Manchester City, Pauni Milioni 25), Harry Maguire (Hull City, Pauni Milioni 17), Vicente Iborra (Sevilla, Pauni Milioni 15),  
Eldin Jakupovic (Hull City, Pauni Milioni 2.3), George Thomas (Coventry, Pauni 450,000), Sam Hughes (Chester, Pauni 125,000) na Aleksandar Dragovic (Bayer Leverkusen, mkopo). 
WALIOTOKA: Tom Lawrence (Derby County, Pauni Milioni 7), Ron-Robert Zieler (Stuttgart, Pauni Milioni 3.5), Michael Cain (ameachwa), Marcin Wasilewski (ameachwa), Harvey Barnes (Barnsley, mkopo), Nampalys Mendy (Nice, mkopo) na Danny Drinkwater (Chelsea, Pauni Milioni 30).

LIVERPOOL:
WALIOINGIA: Mohamed Salah (Roma, Pauni Milioni 39), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal, Pauni Milioni 35), Andy Roberston (Hull City, Pauni Milioni 8), Dominic Solanke (Chelsea bure).
WALIOTOKA: Kevin Stewart (Hull City, Pauni Milioni 8), Lucas Leiva (Lazio, Pauni Milioni 5), Andre Wisdom (Derby, Pauni Milioni 4.5), Ryan Fulton (Hamilton, mkopo), Sheyi Ojo (Fulham, mkopo), Divock Origi (Wolfsburg, bure), 
Ryan Kent (Freiburg, mkopo), Alex Manninger (amestaafu) na Mamadou Sakho (Crystal Palace Pauni Milioni 26). 

MANCHESTER CITY:
WALIOINGIA:
Kyle Walker (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 54), Benjamin Mendy (Monaco, Pauni Milioni 52), Bernardo Silva (Monaco, Pauni Milioni 43), Ederson (Benfica, Pauni Milioni 35), Danilo (Real Madrid, Pauni Milioni 27), Douglas Luiz (Vasco da Gama, Pauni Milioni 10.7) na Olarenwaju Kayode (Austria Vienna, Pauni Milioni 3.5).
WALIOTOKA: Kelechi Iheanacho (Leicester City Pauni Milioni 25), Enes Unal (Villarreal Pauni Milioni 12.5), Wilfried Bony (Swansea City, Pauni 12), Aaron Mooy (Huddersfield Pauni Milioni 10), Nolito (Sevilla, Pauni Milioni 8), Fernando (Galatasaray, Pauni Milioni 5.5), Aleksandar Kolarov (Roma, Pauni Milioni 4.5), Olivier Ntcham (Celtic, Pauni Milioni 4.5), Samir Nasri (Antalyaspor, Pauni Milioni 3.2), Pablo Zabaleta (West Ham United, bure), 
Gael Clichy (Basaksehir, bure), Willy Caballero (Chelsea, bure), Jesus Navas (Sevilla, bure), Bacary Sagna (ameachwa), Bersant Celina (Ipswich Town, mkopo), Joe Hart (West Ham United, mkopo), Olarenwaju Kayode (Girona, mkopo) na Jason Denayer (Galatasaray, mkopo).

MANCHESTER UNITED
WALIOINGIA: Romelu Lukaku (Everton, Pauni Milioni 75), Nemanja Matic (Chelsea, Pauni Milioni 40), Victor Lindelof (Benfica, Pauni Milioni 30.7), Zlatan Ibrahimovic (bure). 
WALIOTOKA: Adnan Januzaj (Real Sociedad, Pauni Milioni 9.8), Josh Harrop (Preston North End), Wayne Rooney (Everton bure), Zlatan Ibrahimovic (aliachwa), Regan Poole (Northampton Town, mkopo), Cameron Borthwick-Jackson (Leeds United, mkopo) na Timothy Fosu-Mensah (Crystal Palace, mkopo).

NEWCASTLE UNITED:
WALIOINGIA: Jacob Murphy (Norwich City, Pauni Milioni 12), Florian Lejeune (Eibar, Pauni Milioni 8.7), Christian Atsu (Chelsea, Pauni Milioni 6.2), Joselu (Stoke City, Pauni Milioni 5), Javier Manquillo (Atletico Madrid), Stefan O'Connor (Arsenal, bure), Josef Yarney (Everton, bure) na Mikel Merino (Borussia Dortmund, mkopo).
WALIOTOKA: Siem de Jong (Ajax, Pauni Milioni 4), Florian Thauvin (Marseille), Daryl Murphy (Nottingham Forest), Grant Hanley (Norwich City), 
Emmanuel Riviere (Metz), Yoan Gouffran (Goztepe, bure), Sammy Ameobi (Bolton Wanderers, bure), Vurnon Anita (ameachwa), Lubo Satka (ameachwa),  
Haris Vuckic (ameachwa), Adam Armstrong (Bolton Wanderers, mkopo), Ivan Toney (Wigan Athletic, mkopo), Tim Krul (Brighton, mkopo) na Achraf Lazaar (Benevento, mkopo).

SOUTHAMPTON: 
WALIOINGIA: Mario Lemina (Juventus, Pauni Milioni 18) na Jan Bednarek (Lech Poznan, Pauni Milioni 5.7). 
WALIOTOKA: Jay Rodriguez (West Brom, Pauni Milioni 12), Jason McCarthy, Barnsley (Pauni 200,000), Paulo Gazzaniga (Tottenham Hotspur), Lloyd Isgrove (Barnsley, bure), Cuco Martina (Everton, bure), Martin Caceres (ameachwa), Sam Gallagher (Birmingham City, mkopo), Harrison Reed (Norwich City, mkopo), Olufela Olomola (Yeovil Town, mkopo), Ryan Seager (MK Dons, mkopo) na Jordy Clasie (Club Bruges, mkopo).

STOKE CITY:
WALIOINGIA: Kevin Wimmer (Tottenham Hotspur, Pauni 18), Bruno Martins Indi (Porto, Pauni 7.25), Josh Tymon (Hull City), Jean-Eric Maxim Choupo-Moting (Schalke), Darren Fletcher (West Bromwich Albion, bure), Kurt Zouma (Chelsea, mkopo) na Jese Rodriguez (Paris Saint-Germain, mkopo). 
WALIOTOKA: Marko Arnautovic (West Ham United, Pauni Milioni 24), Joselu (Newcastle United, Pauni Milioni 5), Glenn Whelan (Aston Villa, Pauni Milioni 2), Phil Bardsley (Burnley, Pauni Milioni 1.5), Jon Walters (Burnley), Philipp Wollscheid (Metz), Daniel Bachmann (Watford bure), Shay Given (bure), Marc Muniesa (Girona, mkopo), Giannelli Imbula (Toulouse, mkopo) na Bojan (Alaves, mkopo).

SWANSEA CITY:
WALIOINGIA: Sam Clucas (Hull City, Pauni Milioni 16.5), Wilfried Bony (Manchester City, Pauni Milioni 12), Roque Mesa (Las Palmas, Pauni Milioni 11), Erwin Mulder (Heerenveen, bure), Tammy Abraham (Chelsea, mkopo) na Renato Sanches (Bayern Munich, mkopo). 
WALIOTOKA: Gylfi Sigurdsson (Everton, Pauni Milioni 45), Fernando Llorente (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 15), Jack Cork (Burnley, Pauni Milioni 8), Bafetimbi Gomis (Galatasaray, Pauni Milioni 2.5), Mo Barrow (Reading, Pauni Milioni 1.5), Stephen Kingsley (Hull City), Liam Shephard (Peterborough United, bure), Marvin Emnes (ameachwa), Gerhard Tremmel (ameachwa), Borja Baston (Malaga, mkopo), Jordi Amat (Real Betis, mkopo), Matt Grimes (Northampton Town, mkopo) na Oliver McBurnie (Barnsley, mkopo).

TOTTENHAM HOTSPUR
WALIOINGIA:
Davinson Sanchez (Ajax, Pauni Milioni 42), Serge Aurier (PSG, Pauni Milioni 23), Fernando Llorente (Swansea City, Pauni Milioni 15), Juan Foyth (Estudiantes, Pauni Milioni 8) na Paulo Gazzaniga (Southampton). 
WALIOTOKA: Kyle Walker (Manchester City, Pauni Milioni 54), Kevin Wimmer (Stoke City, Pauni Milioni 18), Nabil Bentaleb (Schalke, Pauni Milioni 16), Federico Fazio (Roma, Pauni Milioni 3.8), Clinton Njie (Marseille), Will Miller (Burton Albion), Filip Lesniak (ameachwa), Josh Onomah (Aston Villa, mkopo) na Cameron Carter-Vickers (Sheffield United, mkopo).

WATFORD: 
WALIOINGIA: Andre Gray (Burnley, Pauni Milioni 18.5), Richarlison (Fluminense, Pauni Milioni 11.2), Tom Cleverley (Everton, Pauni Milioni 8), Will Hughes (Derby County, Pauni Milioni 8), Nathaniel Chalobah (Chelsea, Pauni Milioni 6), Marvin Zeegelaar (Sporting Lisbon, Pauni Milioni 2.8), Kiko Femenia (Alaves, bure), Daniel Bachmann (Stoke City, bure), Andre Carrillo (Benfica, mkopo), Orestis Karnezis (Udinese, mkopo) na Molla Wague (Udinese, mkopo). 
WALIOTOKA: Mario Suarez (Guizhou Hengfeng Zhicheng), Rene Gilmartin (Colchester United, bure), Juanfran (ameachwa) na Mathias Ranegie (ameachwa).

WEST BROMWICH ALBION
WALIOINGIA: Oliver Burke (RB Leipzig, Pauni Milioni 15), Jay Rodriguez (Southampton, Pauni Milioni 12), Kieran Gibbs (Arsenal, Pauni Milioni 7), 
Gareth Barry (Everton, Pauni Milioni 1), Yuning Zhang (Vitesse), Ahmed Hegazi (Al Ahly, mkopo) na Grzegorz Krychowiak (PSG, mkopo). 
WALIOTOKA: Craig Gardner (Birmingham City), Callum McManaman (Sunderland), Darren Fletcher (Stoke City bure), Sebastien Pocognoli (ameachwa), Yuning Zhang (Werder Bremen, mkopo), Tyler Roberts (Walsall, mkopo), Jonathan Leko (Bristol City, mkopo), Kane Wilson (Exeter City, mkopo) na Rekeem Harper (Blackburn Rovers, mkopo).

WEST HAM UNITED 
WALIOINGIA: Marko Arnautovic (Stoke City, Pauni Milioni 24), Javier Hernandez (Bayer Leverkusen, Pauni Milioni 16), Sead Haksabanovic (Halmstads), Pablo Zabaleta (Manchester City bure), Joe Hart (Manchester City, mkopo). 
WALIOTOKA: Ashley Fletcher (Middlesbrough, Pauni Milioni 6.5), Darren Randolph (Middlesbrough, Pauni Milioni 5), Sofiane Feghouli (Galatasaray, Pauni Milioni 3.9), Havard Nordtveit (Hoffenheim), Enner Valencia (Tigres), George Dobson (Sparta Rotterdam), Kyle Knoyle (Swindon Town, bure), Alvaro Arbeloa (ameachwa), Reece Oxford (Borussia Monchengladbach, mkopo), Reece Burke (Bolton Wanderers, mkopo), Josh Cullen (Bolton Wanderers, mkopo) na Robert Snodgrass (Aston Villa, mkopo). 


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2iNnuew best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WALIOTOKA NA KUINGIA KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/09/waliotoka-na-kuingia-kila-klabu-ligi.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
Copyright Viral Sports: WALIOTOKA NA KUINGIA KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND