Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI John Raphael Bocco ameendelea kuwa mwiba kwenye mechi za kirafiki Simba SC baada ya leo kufunga mabao mawili na kuseti moja timu hiyo ikishinda 4-0 dhidi ya African Lyon Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Bocco aliyefunga mabao mawili pia wiki iliyopita katika ushindi wa 3-1 ya timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC hapo hapo Chamazi, leo amefunga bao mola kila kipindi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Azam FC, alimtilia krosi nzuri chipukizi Moses Kitandu kutoka wingi ya kulia kuifungia Simba bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 17.
John Bocco amefunga mabao mawili na kuseti moja Simba ikishinda 4-0 dhidi ya African Lyon leo
Kitandu aliyepandishwa kutoka timu ya vijana ya Simba msimu huu, naye akalipa kwa kumpasia Bocco kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 28.
Kipindi cha pili, Simba waliendelea kucheza vizuri kwa uelewano mkubwa na kufanikiwa kupata bao la tatu dakika ya 55 kupitia kwa kiungo Jamal Mwambeleko aliyemalizia pasi maridadi ya Hamisi Ndemla.
Bocco akakamilisha shamrashamra za mabao za Wekundu wa Msimbazi kwa kufunga bao zuri la nne dakika ya pili ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida.
Kikosi cha Simba SC leo kilikuwa; Emanuel Mseja/Ally Salim dk82, Ally Shomari Ally, Paul Bukaba, Yussuf Mlipili, Juuko Murshid, Said Ndemla, Kelvin Faru, Mwinyi Kazimoto/Dadi Mbarouk dk90+3, John Bocco/Khalifa Hassan dk90+3, Jamal Mwambeleko na Moses Kitandu/Rashid Juma dk87.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2kx8I9m
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BOCCO AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA IKIUA 4-0 CHAMAZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/bocco-aendeleza-moto-wa-mabao-simba.html. Terimakasih atas perhatiannya.