Na Salum Vuai, ZANZIBAR
TIMU ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ya Zanzibar itaanza na Zesco United ya Zambia katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
JKU SC wataanzia nyumbani Uwanja wa Amaan, Zanzibar kabla ya kusafiri hadi Ndola kwa mchezo wa marudiano.
Katika droo iliyofanyika leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), timu 59 zimepangwa katika Ligi ya Mabingwa na 54 zimo katika Kombe la Shirikisho.
Mashirikisho ya nchi nane tu hayajawasilisha wawakilishi ambayo ni ya Cape Verde, Chad, Eritrea, Namibia, Reunion, Sao Tome and Principe, Sierra Leone na Somalia.
JKU ya Zanzibar itaanza na Zesco United ya Zambia katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Na ikivuka hatua hiyo, JKU itakutana na mshindi kati ya mwakilishi wa Benin dhiai ya Asec Mimosas ya Ivory Coast.
Timu tano hazijapangwa katika hagtua ya awali, ambazo ni Al Ahly ya Misri, mabingwa watetezi, Wydad Casablanca ya Morocco, mabingwa wa Kombe la Shirikisho, TP Mazembe ya DRC, Esperance ya Tunisia na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika, Zimamoto wao wataanzia nyumbani pia dhidi ya Wolaitta Dicha ya Ethiopia na wakivuka hatua hiyo watakutana na Zamalek ya Misri.
Timu tano hazijapangwa katika hagtua ya awali, ambazo ni Al Ahly ya Misri, mabingwa watetezu, Wydad Casablanca ya Morocco, mabingwa wa Kombe la Shirikisho, TP Mazembe ya DRC, Esperance ya Tunisia na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2AA4AQO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms