Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetoa kibali kwa Chama cha Soka Mkoa wa Shinyanga (SHIREFA) kusimamia michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa itakayofanyika Uwanja wa Kambarage kwa siku za kesho Jumamosi Desemba 16, 2017 na Desemba 17, mwaka huu.
Michezo hiyo itahusu timu ya Olimpique Stars ya Burundi ambayo kwa sasa iko Shinyanga kwa ajili ya michezo hiyo ya kirafiki ambako kesho Jumamosi itacheza na Stand United na Jumapili itapambana na Mwadui ya Shinyanga.
Lengo kubwa ya ziara hiyo ni kuzipa timu za mazoezi ili ziweze kufanya vema kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara; pia kupima uwezo wa wachezaji ambao timu hizo za Tanzania zimewasajili katika kipindi cha dirisha dogo na kudumisha ujirani mwema.
SHIREFA imeithibitishia TFF kwamba itafuata itifaki zote kwa mujibu wa taratibu za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2APqXBQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms