BEKI wa Manchester United, Phil Jones yuko fiti kwa mchezo dhidi ya mahasimu, Manchester City kesho Uwanja wa Old Trafford, lakini Eric Bailly atakosekana na Marouane Fellaini yuko shakani.
Jones anatarajiwa kucheza mechi ya mahasimu wa Jiji la Manchester baada ya kukosekana kikosini United tangu kipigo cha Chelsea Novemba 5 baada ya kuumia akiichezea England dhidi ya Ujerumani mchezo wa kirafiki.
Bailly pia aliumia kwenye mchezo wa kimataifa, akiichezea Ivory Coast na hajapona maumivu ya nyonga, lakini Nemanja Matic anacheza licha ya kuwa na maimivu ya misuli.
Jose Mourinho amesema Phil Jones atakuwa fiti kucheza kesho mechi ya mahasimu wa Jiji la Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fellaini amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya goti na kocha Jose Mourinho anatumai Mbelgiji huyo atakuwa fiti kucheza kwenye mechi dhidi ya majirano wao hao.
Akizungumzia taarifa za wachezaji wake, Mourinho alisema: "Zlatan (Ibrahimovic) atakuwepo, Jones atakuwepo, Fellaini itanibidi nisubiri hadi kesho. (Michael) Carrick hatakuwepo, Bailly hatakuwepo. Matic ni majeruhi lakini anacheza,".
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2jgETgG
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PHIL JONES FITI KUICHEZEA MAN UNITED DHIDI YA CITY KESHO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/phil-jones-fiti-kuichezea-man-united.html. Terimakasih atas perhatiannya.