Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba SC kesho watacheza mchezo wa kirafiki na African Lyon ya Daraja la Kwanza Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kuanzia Saa 1:00 usiku.
Mchezo ni maalum kuendelea kukiweka kikosi sawa kabla ya kurejea kwa mechi za Ligi Kuu, zilizopisha michuano ya CECAFA Challenge inayoelekea ukingoni nchini Kenya.
Na mchezo huo unakuja wiki moja baada ya Simba kushinda 3-1 dhidi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC katika mchezo mwingine wa kirafiki huko huko Chamazi.
Siku hiyo, KMC inayofundishwa na kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga, Freddy Felix Minziro, ilitangulia kupata bao lililofungwa na Reyman Mgungila dakika ya saa kwa shuti la mpira wa adhabu nje kidogo ya 18, kabla ya Simba kutokea nyuma na kushinda 3-1.
Mabao ya Simba yalifungwa na John Bocco mawili, moja kwa penalti dakika ya 27, baada ya Mohamed Ibrahim 'Mo' kuangushwa ndani ya penati boksi na lingine dakika ya 86, ambalo lilikuwa la tatu baada ya winga Mzambia, Jonas Sakuwaha aliye kwenye majaribio kufunga la pili dakika ya 39.
Katika mchezo wa kesho Simba inatarajiwa kuongezewa nguvu na wachezaji wake waliokuwa kwenye kikosi cha Tanzania, Kilimanjaro Stars kwenye michuano ya CECAFA Challenge.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2zbgOwQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA KUJIPIMA NA AFRICAN LYON KESHO CHAMAZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/simba-kujipima-na-african-lyon-kesho.html. Terimakasih atas perhatiannya.