TIMU ya taifa ya Libya jana imekwenda fainali ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya ushindi wa penalti 5-3 dhidi ya Kongo kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 kwenye mchezo wa Robo Fainali Uwanja wa Agadir nchini Morocco.
Katika mchezo huo , Saleh Taher alitangulia kuifungia Libya bao la kuongoza dakika ya 15, kabla ya Junior Makiesse kuwasawazishia Wakongo dakika ya 37.
Kipa wa Kongo, Barel Mouko ndiye aliyewaondoa mashindanoni wenzake baada ya kipiga juu mkwaju wake wa penalti, hivyo mabingwa wa 2014 kuwafuata wenyeji, Morocco katika Nusu Fainali inayotarajiwa kuwa kali.
Moftah Taktak, Ramadan, Alaqoub, Ahmed Almaghasi na Sand Masaud walifunga penalti za Libya wakati Francouer Kibamba, Mboungou na Varel Rozan walifunga za Kongo.
Mapema kwenye mchezo huo, Mouko aliisaidia mno timu yake kwa kuokoa mno hatari nyingi zilizopelekwa na Libya langoni mwake.
Katika mchezo mwingine wa Robo Fainali jana, Mtokea benchi Gabriel Okechukwu aliifungia Nigeria bao la ushindi dakika ya 108 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Angola mjini Tangiers hivyo kwenda Nusu Fainali.
Angola ilitangulia kwa bao la Vladimir Va dakika ya 55 baada ya makosa ya Emeka Atuloma na mpira ukamkuta yeye hivyo kumtungua kipa Ikechukwu Ezenwa, kabla ya Anthony Okpotu kuisawazishia Nigeria dakika ya 90 na ushei.
Okechukwu akafunga bao la ushindi kwenye dakika 30 za nuongeza na sasa Nigeria itakutana na Sudan katika Nusu Fainali Jumatano mjini Marrakech.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2DNdprV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms