MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez anatarajiwa kuichezea Manchester United mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu ya England itakapomenyana na Tottenham Hotspur leo Uwanja wa Wembley, London.
Akitoka kucheza vizuri na kutoa pasi za mabao ya Marcus Rashford na Ander Herrera Man United ikishinda 4-0 dhidi ya Yeovil Town timu ya Ligi Daraja la Pili, Sanchez anahamia kwenye Ligi Kuu leo.
Alexis alicheza mechi yake ya kwanza Uwanja huo wa Taifa miaka mitano iliyopita na tangu hapo amejiwekea rekodi nzuri ya kufunga mabao saba na kutoa pasi ya bao moja.
Mshambuliaji Alexis Sanchez tayari amefunga mabao sana Uwanja wa Wembley kabla ya kujiunga Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mwezi Novemba mwaka 2013, aliweka kumbukumbu ya mwanzo nzuri baada ya kufunga mabnao yote mawili, Chile ikishinda 2-0 dhidi ya England.
Pia alifunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza ya klabu kucheza Wembley, Arsenal ikishinda 2-1 dhidi ya Reading kwenye Nusu Fainali ya Kombe la FA Aprili mwaka 2015.
Mwezi uliofuata, Alexis akafunga moja ya mabao ya mabao mazuri katika fainali ya Kombe la FA katika ushindi wa The Gunners wa 4-0 dhidi ya Aston Villa.
Baada ya kumsetia Theo Walcott kufunga bao la kwanza kipindi cha kwanza, akafunga bao lake muda mfupi baada ya kuanza kipindi cha pili kutoka umbali wa mita 25 na kuwa Mchile wa pili tu kufunga kwemnye fainali ya michuano hiyo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 pia alimaliza ukame wa Arsenal’ wa mataji ya Kombe la FA kwa muda mrefu msimu uliopita kwa kufunga bao lingine la dakika za lala salama kwenye Nusu Fainali akiisaidia timu yake kuifunga Manchester City 2-1 mwezi Aprili.
Alexis kisha akafunga bao la mapema zaidi kwenye fainali ya Kombe la FA ambalo lilikuwa ni la kwanza baada ya sekunde 229 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea mwezi mmoja baadaye.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2nqzdPO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang REKODI YA ALEXIS SANCHEZ UWANJA WA WEMBLEY INATISHA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/01/rekodi-ya-alexis-sanchez-uwanja-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.