BILIONEA Roman Abramovich atatakiwa kuthibitisha namna alivyopata utajiri wake ili aweze kupatiwa kupatiwa visa ya kuingia tena Uingereza.
Hatua huyo inafuatia Serikali kuanzisha vita maalum ya kuchunguza namna watu wanavyitajirika na mfanyabiashara huyo wa Urusi, mmiliki wa klabu ya Chelsea FC amefungiwa rasmi kuingia Uingereza hadi hapo atakapoonyesha fedha zake ni safiu.
Matajiri wengine wakubwa waliopo Uingereza pia wanachunguzwa juu ya namna walivyotajirika na pia wanavyoutumia utajiri wao.
Hiyo inafuatia kuibuka kwa mtafaruku baina na nchi hizo mbili, baada ya Uingereza kudai Urusi ilitupa watu wa kwenda kumuwekea sumu jasusi Sergei Skripal na na binti yake mjini Salisbury.
Serikali ya Uingereza imeilaumu Urusi na Waziri Mkuu, Theresa May amesema tukio hilo ni kama 'kudharauliwa' na akafukuza wanadiplomasia kadhaa wa Kirusi nchini humo.
Abramovich, ambaye yuko nje ya Uingereza na alikosa fainali ya Kombe la FA, timu yake, Chelsea ikishinda 1-0 dhidi ya Manchester United Jumamosi, anachukuliwa kama muombaji mpya wa visa ya kuingia nchini humo.
Tayari Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye ni swahiba wa Abramovich amekwishalalamikia namna Uingereza inavyomfanyia mfanyabiashara huyo, kwamba haimtendei haki.
Abramovich aliinunua Chelsea mwaka 2003 kwa Pauni Milioni 60.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2IFiOUv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms