MISRI bado ina matumaini ya kumumia mshambuliaji wake nyota, Mohamed Salah kwenye fainali za Kombe la Dunia licha ya jana kutoka uwanjania analia baada ya kuumia kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Salah alimumia bega baada ya kukutana na beki wa Real Madrid, Sergio Ramos na akashindwa kuendelea na mchezo kipindi cha kwanza Liverpool ikichapwa mabao 3-1.
Lakini licha ya kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp kuamini yalikuwa maumivu makali, timu ya taifa ya Misri imesema Salah ameumua kidogo bega na akuwa fti kwa Kombe la Dunia.
Daktari wa timu ya taifa ya Misri, Dk Mohammed Abu Alaa ameambiwa na timu ya matabibu wa Liverpool kwamba kufuatia vipimo alivyofanyiwa Salah inaonyesha alipata maumivu kwneye maungio ya bega ambalo lilifungwa ili apate abueni mapema.
"Daktari ana matumaini ya Salah kuwa na nafasi ya kujiunga na timu ya taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia,"amesema.
Mohamed Salah atajiunga na timu ya taifa ya Misri kwa ajili ya Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2KX0DGq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms