• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ▼  Mei (483)
      • Fairview Friday 1 June 2018 Best Bets
      • SINGIDA UNITED YASHUSHA MUIVORY COAST NA MBRAZIL, ...
      • Super Rugby 2018: Chiefs v Crusaders Preview
      • Top 20 Reactions - Zidane Retires
      • YANGA SC WALIVYOONDOKA LEO KWENDA KENYA
      • YONDAN ‘AWAZODOA SIMBA’ AIBUKA JANGWANI NA KUTETA ...
      • Madrid Legend Leaves Club
      • Madrid Legend Leaves Club
      • ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID, WENGER ATAJWA KUM...
      • Super Rugby 2018: Blues v Rebels Preview
      • JKU WALIVYOPAA KWENDA KENYA LEO SPORTPESA SUPER CUP
      • French Top 14 Final: Montpellier v Castres Preview
      • TSHISHIMBI, AJIB, KAMUSOKO WAENDA NA YANGA SC NAKURU
      • BOCCO, OKWI, MAVUGO NA WAGHANA WOTE HAWAMO SIMBA K...
      • Super Rugby: Highlanders v Hurricanes Preview
      • Captain Kolisi Calls for Celebration
      • Black Leopards Return to Top Flight Football
      • U20 Junior World Cup Wrap: New Zealand Cruise in O...
      • Vaal Thursday 31 May 2018 Best Bets
      • SAMATTA AENDA KUFANYA IBADA YA HIJA NDOGO MAKKA
      • IRB Under 20 Championship: Round 1 Preview
      • WACHEZAJI WAPYA WAZUIWA MICHUANO YA SPORTPESA SUPE...
      • ICC World XI vs West Indies: One-off T20 Preview
      • MESSI APIGA HAT TRICK ARGENTINA YAIPIGA HAITI 4-0
      • PGA Tour: The Memorial Tournament Preview
      • European Tour: Italian Open Preview
      • England vs Pakistan: Second Test Preview
      • Complete List of PSL Award Winners 2017/18
      • WACHEZAJI WA AZAM FC WAPEWA MAPUMZIKO HADI JULAI 3
      • MAMBO YA FEDHA, SALAMBA SASA NI MMILIKI BONGE LA '...
      • Greyville Wednesday 30 May 2018 Best Bets
      • Ramos 'Judo Takedown' on Salah is Nothing New
      • SIMBA NA YANGA ZAENDA KUTAFUTA KENYA KWA MECHI YA ...
      • MTIBWA SUGAR YAIENDEA SINGIDA UNITED NA KIKOSI KAM...
      • 5 Talking Points from the Sporting Weekend
      • 5 Talking Points: Super Rugby Round 15
      • 17 Uncappped Players Named in 43 man Springbok Squad
      • IRB Under 20 Championship: Tournament Preview
      • WTA Tour: French Open Round of 64 Matches Preview
      • Daily News 2000 - Final Fields 2018
      • ATP Tour: French Open Selected Round of 64 Matches...
      • AZAM FC YAIPIGA YANGA 3-1 NA KUMALIZA NAFASI YA PI...
      • MO DEWJI ALIVYOFANIKISHA USAJILI WA ADAM SALAMBA S...
      • Viking Lotto - Lucky Numbers
      • Kenilworth Best Bets - Tuesday 29 May 2018
      • SIMBA SC YAMALIZA LIGI KWA HESHIMA, MAJI MAJI YAUN...
      • Missed Out XI vs Snubbed XI
      • YONDAN AMALIZA ADHABU, AREJEA KIKOSINI YANGA MECHI...
      • WATCH: Top 5 Tries - Super Rugby Round 15
      • Top 16 Memes and Reactions - Gareth Bale's Bicycle...
      • Top 25 Memes and Reactions - Sergio Ramos' Challen...
      • Top 22 Memes and Reactions - Loris Karius UCL Final
      • SAMATTA AFUNGA BAO LA KWANZA GENK YASHINDA 2-0 UBE...
      • KARIUS AWAOMBA RADHI TENA LIVERPOOL, ASEMA HAJALAL...
      • MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA CHARLES HILLARY WA AZA...
      • MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NGAWINA, MTANZANIA WA KWA...
      • FULHAM WAICHAPA 1-0 ASTON VILLA NA KUREJEA LIGI KU...
      • MISRI YAHAKIKISHIWA NA LIVERPOOL SALAH ATACHEZA KO...
      • LIVERPOOL WAREJEA NYUMBANI KINYONGE BAADA YA KIPIG...
      • YANGA SC YARUDISHA NYUMA MKUTANO WAKE KWA WIKI MOJA
      • MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA CLEMENT KAHBUKA
      • MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA AKIDA MAKUNDA
      • MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA YUSSUF MACHO 'MUSSO'
      • MAHOJIANO YA ANA KWA ANA BIN ZUBEIRY NA LUNYAMILA
      • MKWASA ATAJA SABABU ZA YANGA KUACHANA NA NGOMA
      • IPL Final: Chennai Super Kings vs Sunrisers Hydera...
      • NI REAL TENA, AU LIVERPOOL KUBEBA TAJI LA LIGI YA ...
      • AZAM FC YATHIBITISHA KUMCHUKUA DONALD NGOMA, YAMPE...
      • Horse Racing 101 - Open and Fixed Win
      • AZAM FC YAPANIA KULIPA KISASI KWA YANGA JUMATATU U...
      • YANGA SC 2-2 RUVU SHOOTING
      • YANGA SC YABANWA NA RUVU SHOOTING, SARE 2-2 UWANJA...
      • Final Fields - Tsogo Sun Festival of Speed - Scott...
      • Crusaders Break Hurricanes Winning Streak
      • Rebels Put Sunwolves to the Sword
      • WATCH: 12 soccer world cup moments
      • YANGA SC NA AZAM FC KUMENYANA USIKU KUWANIA NAFASI...
      • Opinion: Markram a class above award pretenders
      • Fairview Monday 28 May 2018 Best Bets
      • Scottsville Saturday 26 May 2018 Best Bets
      • Horseracing Facebook Promotion: Win a R500 Betting...
      • Electricity Unipin Vouchers - Now at Hollywoodbets
      • Turffontein Sunday 27 May Best Bets
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 26 May 2018
      • Napoli 5/90 Lotto - Lucky Numbers
      • Roma 5/90 Lotto - Lucky Numbers
      • Fairview Friday 25 May 2018 Best Bets
      • IPL Qualifier 2: Kolkata Knight Riders vs Sunriser...
      • UEFA Champions League Facts and Flashbacks
      • Aviva Premiership Final: Saracens v Exeter Preview
      • F1 2018: Monaco Grand Prix Preview
      • UEFA Champions League Facts and Flachbacks
      • Milano 5/90 Lotto - Lucky Numbers
      • Italian Superenalotto 6/90 - Lucky Numbers
      • SIMBA SC WAZAWADIWA MILIONI 100 NA SPORTS PESA KWA...
      • Horse Racing Promotion - Terms and Conditions
      • Vodacom Durban July 2018 - Tickets - Now On Sale
      • RASMI KUANZIA LEO INIESTA NI MCHEZAJI WA VISSEL KO...
      • WINGA MWENYE KASI SIMON HAPPYGOD MSUVA AKUBALI KUJ...
      • UFARANSA WALIVYOANZA MAANDALIZI KOMBE LA DUNIA
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » YANGA SC YABANWA NA RUVU SHOOTING, SARE 2-2 UWANJA WA UHURU

YANGA SC YABANWA NA RUVU SHOOTING, SARE 2-2 UWANJA WA UHURU

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, zamani Taifa mjini Dar es Salaam.
Sare hiyo inaifanya Yanga SC ijiongezee pointi moja na kufikisha 52 baada ya kucheza mechi 29 na sasa itaingia kwa mchezo wa mwisho na Azam FC ikitakiwa lazima kushinda ili kumaliza nafasi ya pili, baada ya kuvuliwa ubingwa na mahasimu wao wa jadi, Simba SC.
Iliwachukua dakika ya 18 tu Yanga kupata bao la kwanza leo kupitia mshambuliaji wake, Matheo Anthony aliyemalizia pasi nzuri ya kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko.
Bao hilo halikudumu sana, kwani Ruvu Shooting walifanikiwa kusawazisha dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti iliyopigwa na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Khamis Mcha ‘Valli’, kufuatia beki wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja kuunawa mpira uliopigwa na Fully Maganga.
Hata hivyo, Yanga SC ikafanikiwa kupata bao la pili dakika ya 36 kupitia kwa kiungo wake chipukizi, Maka Edward aliyemalizia pasi ya kiungo Pius Buswita aliye katika msimu wake wa kwanza Jangwani tangu asajiliwe kutoka Mbao FC ya Mwanza.
Kiungo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu Shooting
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony (kushoto) akimpita beki wa Ruvu Shooting, Rajab Zahir
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko (kushoto) akipenyeza pasi pembeni ya mchezaji wa Ruvu Shooting 
Kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Rashid (kushoto) akiutazama mpira uliopigwa na kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kulia) ukienda nje sentimita chache dakika za mwishoni  
Wachezaji wa Ruvu Shooting wakiwadhibiti wachezaji wa Yanga wakati wakisubiri mpira wa kona

Kipindi cha pili hakikuwa kizuri kwa Yanga, kwani pamoja na kuwaruhusu Ruvu Shooting kusawazisha bao, lakini pia walijikuta wakipoteza nafasi zaidi ya tatu nzuri ya kurejesha ushindi wao. 
Aliyeisawazishia Ruvu leo alikuwa ni mshambuliaji Issa Kandru aliyefunga bao jepesi dakika ya 47 kufuatia mabeki wa Yanga kuzubaa wakidhani alikuwa ameotea naye akamalizia pasi ya Maganga kuifungia timu yake.
Yanga ilijaribu kutoka kwenda kutafuta bao lingine la ushindi, lakini pamoja na uimara wa safu ya ulinzi ya Ruvu Shooting na wachezaji wake wakapoteza nafasi tatu za wazi, ikiwemo ya Buswita mwishoni kabisa mwa mchezo.   
Pazia la Ligi Kuu litafungwa usiku wa Jumatatu ya Mei 28, kwa mechi nane, Yanga SC wakimenyana na Azam FC Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kuanzia Saa 2:00 usiku baada ya mechi saba za Saa 10:00 jioni, ukiwemo mchezo kato ya mabingwa, Simba SC na wenyeji, Maji Maji Uwanja wa Maji Maji mjini Songea.
Mechi nyingine za jioni ni kati ya Lipuli na Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba na Tanzania Prisons dhidi ya Singida United Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, Ndanda FC dhidi ya Stand United Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara, Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Manungu, Turiani mjini Morogoro, Njombe Mji FC dhidi ya Mwadui FC na Mbao FC dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Wakati Ligi Kuu inamalizika Jumatatu, tayari Simba SC ndiyo mabingwa wakiwa wamejikusanyia pointi 68 katika mechi 29, wakifuatiwa na Azam FC yenye pointi 55 za mechi 29 na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga SC wapo nafasi ya tatu kwa pointi zao 52 za mechi 29.
Njombe Mji FC tayari imeshuka Daraja kutokana na kuambulia pointi 22 katika mechi 29, wakati Ndanda FC yenye pointi 26 za mechi 29 na Maji Maji FC yenye pointi 24 za mechi 29 pia mojawapo itashuka pia baada ya mechi za Jumatatu.
Wakati timu mbili zitaipa mkono wa kwaheri Ligi Kuu Jumatatu, tayari African Lyon, KMC, JKT Tanzania za Dar es Salaam, Coastal Union ya Tanga, Alliance Schools ya Mwanza na Biashara United ya Mara zimekwishapanda kuelekea ligi ya msimu ujao, itakayokuwa na timu 20 ambayo ni ongezeko la timu nne.
Kikosi cha Yanga; Ramadhani Kabwili, Hassani Kessi, Gadiel Michael, Abdallah Shaibu, Said Juma, Maka Edward, Pius Buswita, Papy Tshishimbi/Geoffrey Mwashiuya dk82, Matheo Anthony, Thabani Kamusoko na Emmanuel Martin/Paulo Godfrey dk64.
Ruvu Shooting; Abdallah Rashidi, George Amani, Yusuph Nguya, Hamisi Kasanga, Rajab Zahir, Baraka Mtuwi, Abdulrahaman Mussa/William Patrick dk27, Shabani Msala, Issa Kanduru/Ishara Juma dk85, Fully Maganga/ Zuber Dabi dk72 na Khamis Mcha.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2KTSHpD best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC YABANWA NA RUVU SHOOTING, SARE 2-2 UWANJA WA UHURU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/05/yanga-sc-yabanwa-na-ruvu-shooting-sare.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.59
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: YANGA SC YABANWA NA RUVU SHOOTING, SARE 2-2 UWANJA WA UHURU