KIUNGO Daley Blind anakaribia kurejea Ajax baada ya jana usiku Manchester United kukubaliana na klabu huyo ya Uholanzi.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 28 aliondoka kwa vigogo hao wa Amsterdam miaka minne iliyopita kuhamia Old Trafford kwa dau la Pauni Milioni 14.
Blind amecheza mechi 141 United katika kipindi hicho, lakini msimu uliopita alicheza mechi saba tu za Ligi Kuu kwenye kikosi cha kocha Jose Mourinho.
Daley Blind anakaribia kurejea Ajax baada ya Manchester United kumuuza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Na kwa sababu hiyo sasa anarejea klabu yake iliyomuibua na Man United wamethibitisha kukubaliana na Ajax juu ya uhamisho huo utakaogharimu Pauni Milioni 14.1 ambazo zinaweza kuongezeka hadi Milioni 18.5.
Blind atakuwa mchezaji wa kwanza mkubwa kuondoka United msimu huu, ingawa Nahodha Michael Carrick amestaafu na kujiunga na benchi la Ufundi la Mourinho.
Wakati huo huo; United imesajili wachezaji wapya watatu ambao ni Diogo Dalot kutoka Porto, Fred kutoka Shakhtar Donetsk na kipa mkongwe, Lee Grant kutoka Stoke City.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Jup7Wq
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AJAX YAMREJESHA DALEY BLIND KWA PAUNI MILIONI 18. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/07/ajax-yamrejesha-daley-blind-kwa-pauni.html. Terimakasih atas perhatiannya.