Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetuma barua ya ufafanuzi kuhusu adhabu ya Mtibwa Sugar.
Katika barua ya CAF kwenda kwa Katibu Mkuu wa TFF Kidao Wilfred, imesema Mtibwa Sugar wanaruhusiwa kushiriki katika mashindano y Kombe la Shirikisho lakini ikiwataka kuwasilisha nyaraka zinazothibitisha kulipwa kwa faini ya Dola 1500 pamoja na fidia kwa timu ya Santos ya Afrika Kusini.
Mtibwa Sugar ilifungiwa kushiriki mashindano ya kimataifa April 2004 wakifungiwa miaka 3 na faini ya dola 1500.
TFF inafanya juhudi kubwa kuhakikisha jambo hilo linamalizika kabla ya Julai 20,2018 tarehe ya mwisho iliyotolewa na CAF nyaraka hizo kuwa zimewasilishwa.
Mtibwa Sugar ndio mabingwa wa Azam Sports Federation Cup na wataiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Africa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2tUePdo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms