Wachezaji wa Croatia wakikimbia kushangilia baada ya ushindi wa penalti wa 4-3 kufuatia sare ya 2-2 na wenyeji, Urusi usiku huu katika mchezo wa mwisho wa Robo Fainali ya Kombe la Dunia Uwanja wa Olimpiki mjini Fisht, Sochi. Mabao ya Urusi yalifungwa na Denis Cheryshev dakika ya 31 na Mario Fernandes dakika ya 115, wakati ya Croatia yalifungwa na Andrej Kramaric dakika ya 39 na Domagoj Vida dakika ya 100.
Penalti za Urusi zilifungwa na Alan Dzagoev, Sergei Ignashevich na Daler Kuzyaev, wakati Fyodor Smolov na Fernandes walikosa huku za Croatia zikifungwa na Marcelo Brozovic, Luca Modric, Vida na Ivan Rakitic. Croatia sasa itakutana na England katika Nusu Fainali Jumatano, wakati Ufaransa itamenyana na Ubelgiji PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2J3zlg6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms