Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Gor Mahia ya Kenya imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Vipers ya Uganda leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Sasa Gor Mahia ya kocha Muingereza, Dylan Kerr itasubiri mshindi kati ya Simba SC na AS Ports ya Djibouti zinazomenyana hivi sasa ikutane naye katika mechi ya Nusu Fainali.
Haukuwa ushindi mwepesi kwa Gor Mahia, kwani ilibidi watoke nyuma baada ya Vipers kutangulia kwa bao la Thadeo Lwanga dakika ya 17 kwa shuti la mbali na kumtungua kipa.
 |
| Kiungo wa Gor Mahia, George Odhiambo 'Blackberry' (kulia) akiondoka na mpira dhidi ya mchezaji wa Vipers, Ibrahim Kiyemba |
Gor Mahia wakazinduka na kusawazisha kwa bao la Francis Mustafa dakika ya 48 aliyeunganisha krosi ya Innocent Wafula, kabla ya kufunga na la pili dakika ya 75 hivyo kuifungisha virago timu ya Uganda.
Kikosi cha Gor Mahia kilikuwa: Boniface Oluoch, Innocent Wafula, Godfrey Walusimbi, Haron Shakava, Ernest Wendo/Francis Kahata dk44, Charles Momanyi, Humphrey Mieno, Jacques Tuyisenge, George Odhiambo ‘Blackberry’ na Francis Mustafa/Eiphraim Guikana dk86.
Vipers: Bashir Sekagya, Dan Sserunkuma, Bashir Asiku, Geoffrey Wasswa, Steven Mukwala/Brian Nkuubi dk46, Milton Karisa, Ibrahim Kiyemba, Tadeo Lwanga, Yayo Lutimba Kato/Pius Wanji dk81, Rahmat Ssenfuka na Duncan Sseninde.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2J5m1rX
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms