MBRAZIL, Alisson Ramses Becker, maarufu kama Alisson amekuwa kipa ghali zaidi duniani kihistoria baada ya kujiunga Liverpool kutoka Roma kwa ada ya uhamisho ya Pauni 65.
Usajili huo unafanya Liverpool iwe imetumie kiasi cha jumla Pauni Milioni 174.45 baada ya awali ya kuwasajili kiungo wa Guinea, Naby Keita, Mbrazil mwingine, Fabinho na Mswisi, Xherdan Shaqiri.
Alisson amewasili Merseyside Jumatano na kwenda kufanyiwa vipimo vya afya katika eneo la Melwood, wanakofanyia mazoezi Liverpool.
Amesaini mkataba wa miaka sita kabla ya kupanda ndege binafsi kurejea Italia kukamilisha mapumziko wake.
Alisson amekuwa kipa ghali zaidi duniani kihistoria baada ya kujiunga Liverpool kwa ada ya uhamisho ya Pauni 65 kutoka Roma PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LtWQkF
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang LIVERPOOL YAMSAJILI ALISSON KWA DAU LA REKODI YA DUNIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/07/liverpool-yamsajili-alisson-kwa-dau-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.